Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Ukisearch humu ndani, utakuta kuwa topiki hii ya 90 minutes at Entebbe imewahi kujadiliwa mara nyingi sana hapa kwenye forum. Kwa hiyo thread hii haina jambo lolote jipya la kujadili; badala yake nilichoona ni kopy and paste. Mojawapo ya mchango wangu kuhusu operation hii niliutoa mwaka 2011 tena katika thread nyingine kabisa. Isome hapa Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

Thread nyingine zinazojadili jambo hilo hilo ni kama vile hii hapa ya mwaka 2013
90 Minutes in raid on Entebbe: Tukio la ukombozi wa mateka wa Kiyahudi Uganda



Mmmmmmh,

Aiseeeeeh, by then, 2011 sijazaliwa duuuh!!

Kichugu, Shikamoooo!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wenzetu wa nchi za Ulaya na Marekani wanatuonyesha operesheni zao kupitia movies zao vile zilivyofanikiwa
 
Seemu ya tatu wote tunajua walikuja wakaokoa watuwao namdananda wao akafa ndugu wa netanyau maisha inaenda spidi sana
 
Laiti kama the bold ungekuwa mwalimu wangu wa hesabu na fizikia naamini masomo hayo ningwyapenda na kufaulu vuzuri maana Jambo gumu unalielexa kwa ufasaha had mjinga kiwango cha lami anaelewa
 
Huwa napata nafasi nzuri sana ya kujifunza na kuelewa vitu vingi kutoka kwenye mada mbalimbali za huyu mkuu,shukrani sana
 
Back
Top Bottom