Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

kuna haja ya kuifanya kibiti...
 
Tuna haki ya kujivunia vyakwetu, watupe hata juu juu tu. Ila kama wataendelea kuweka ngumu nadhani itabidi tusubiri miaka 100 kuja kupata hizo simulizi.
Kinachosikitisha ni kilasiku wanatuhubiria kua wazalendo.

Leo hiii watu waijua CIA,FBI,MOSSAD kuliko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
 
Kinachosikitisha ni kilasiku wanatuhubiria kua wazalendo.

Leo hiii watu waijua CIA,FBI,MOSSAD kuliko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Kweli mkuu, yafaa sasa wafanyie tathmini miiko yao,lazima kuna watu wameshafanya mambo muhimu kwa taifa letu lakini habari zao huwezi zipata popote wala hazijawahi kuandikwa..sasa kizazi cha sasa na cha baadae kitaweza kukumbuka nini. Tumebaki na taswira ya Willy Gamba kana kwamba ni mtu halisi ambae ali exist. Ikiwa wapo waliofanya mambo adimu yakutukuka yaandikwe wapewe heshima zao.
 
We baba mbn ckuelewi au ni ile bange niliovutia bafuni wakati Nina njaa inaniongopea? Umesema hukuona jipya la kuchangia katika Uzi huu halafu ukatuwekea na vdeo kusapoti stori hii inaitwaje hiyo tabia yako ww umeielewa au mi ckuelewi?
 
Sasa hivi ntakua nasoma stori nikiwa na muwa mzima kabisa maana ile sehem yakwanza niliiga watoto wakishua nikanunua popcorn hata hazikuchukua round aisee.. Alafu sehem ya pili imenipita nini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…