Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Mkuu The Bold, hivi kwa hapa nyumbani hakuna Operation ambayo imewahi kufanywa na wakuu wa hizi mambo ambayo unaweza kutuletea simulizi murua kabisa? Kwa mfano labda OPERATION NGORONGORO ile walitimua wasomali..sijui ilipewa jina gani..yan kuanzia uingiaji wa wasomali,utekaji,polisi walivyoenda baadae intelijensia na hatimae jeshi na kuwapoteza kabisa hao jamaa, angalau tuone na majina tofauti kama Ole Nangolo, Ole Syapa kwenye mazingira ya nyumbani.
kuna haja ya kuifanya kibiti...
 
Tuna haki ya kujivunia vyakwetu, watupe hata juu juu tu. Ila kama wataendelea kuweka ngumu nadhani itabidi tusubiri miaka 100 kuja kupata hizo simulizi.
Kinachosikitisha ni kilasiku wanatuhubiria kua wazalendo.

Leo hiii watu waijua CIA,FBI,MOSSAD kuliko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
 
Kinachosikitisha ni kilasiku wanatuhubiria kua wazalendo.

Leo hiii watu waijua CIA,FBI,MOSSAD kuliko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Kweli mkuu, yafaa sasa wafanyie tathmini miiko yao,lazima kuna watu wameshafanya mambo muhimu kwa taifa letu lakini habari zao huwezi zipata popote wala hazijawahi kuandikwa..sasa kizazi cha sasa na cha baadae kitaweza kukumbuka nini. Tumebaki na taswira ya Willy Gamba kana kwamba ni mtu halisi ambae ali exist. Ikiwa wapo waliofanya mambo adimu yakutukuka yaandikwe wapewe heshima zao.
 
Sikuona jipya la kuchangia, huo ni ukweli- lakini sikusema kuwa watu wasisome. Lakini yote hayo yasingekuja iwapo mtu asingenibeza kuwa eti "basi na wewe andika..."

Wakati mada inaendelea na unaipenda basi ifuatilie kwa makini; acha tabia ya kutoa matusi kwa watu wa pembeni kupitia thread hiyo hiyo kwa sababu unaweza kudreail mada yote.
We baba mbn ckuelewi au ni ile bange niliovutia bafuni wakati Nina njaa inaniongopea? Umesema hukuona jipya la kuchangia katika Uzi huu halafu ukatuwekea na vdeo kusapoti stori hii inaitwaje hiyo tabia yako ww umeielewa au mi ckuelewi?
 
Sasa hivi ntakua nasoma stori nikiwa na muwa mzima kabisa maana ile sehem yakwanza niliiga watoto wakishua nikanunua popcorn hata hazikuchukua round aisee.. Alafu sehem ya pili imenipita nini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom