The dream
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 999
- 996
Hivi wewe jamaa kuquote huo uzi woote utakua mzima kweli?$a Xbox scss$$ sac acz
Ustaarabu hauzwi dukani bhana!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe jamaa kuquote huo uzi woote utakua mzima kweli?$a Xbox scss$$ sac acz
Tag imekuwa ndefu sana jamani kama vipi mfollow ili iwe rahisi Uzi aweke na orodha ya tag nayo jamani? acheni umwinyiMbona mimi simo
Duuuu... kumbe bibie ulisha liona la tembo ..... unaishi serengeti au manyara Nationa Park...Busha lako kubwa ka la tembo
Lionee...
Mbona sasaivi unatupa utamu kidogo kidogo THE BOLD, Au unawahi ftari Kiongozi.[emoji2][emoji2][emoji2]Bado hujaiona hapo juu? Post moja kabla ya post yako?
kuna haja ya kuifanya kibiti...Mkuu The Bold, hivi kwa hapa nyumbani hakuna Operation ambayo imewahi kufanywa na wakuu wa hizi mambo ambayo unaweza kutuletea simulizi murua kabisa? Kwa mfano labda OPERATION NGORONGORO ile walitimua wasomali..sijui ilipewa jina gani..yan kuanzia uingiaji wa wasomali,utekaji,polisi walivyoenda baadae intelijensia na hatimae jeshi na kuwapoteza kabisa hao jamaa, angalau tuone na majina tofauti kama Ole Nangolo, Ole Syapa kwenye mazingira ya nyumbani.
Kinachosikitisha ni kilasiku wanatuhubiria kua wazalendo.Tuna haki ya kujivunia vyakwetu, watupe hata juu juu tu. Ila kama wataendelea kuweka ngumu nadhani itabidi tusubiri miaka 100 kuja kupata hizo simulizi.
We pimbi kukopy koote huko ili iweje ?? Mbona hamjiongezu$a Xbox scss$$ sac acz
Kweli mkuu, yafaa sasa wafanyie tathmini miiko yao,lazima kuna watu wameshafanya mambo muhimu kwa taifa letu lakini habari zao huwezi zipata popote wala hazijawahi kuandikwa..sasa kizazi cha sasa na cha baadae kitaweza kukumbuka nini. Tumebaki na taswira ya Willy Gamba kana kwamba ni mtu halisi ambae ali exist. Ikiwa wapo waliofanya mambo adimu yakutukuka yaandikwe wapewe heshima zao.Kinachosikitisha ni kilasiku wanatuhubiria kua wazalendo.
Leo hiii watu waijua CIA,FBI,MOSSAD kuliko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
We baba mbn ckuelewi au ni ile bange niliovutia bafuni wakati Nina njaa inaniongopea? Umesema hukuona jipya la kuchangia katika Uzi huu halafu ukatuwekea na vdeo kusapoti stori hii inaitwaje hiyo tabia yako ww umeielewa au mi ckuelewi?Sikuona jipya la kuchangia, huo ni ukweli- lakini sikusema kuwa watu wasisome. Lakini yote hayo yasingekuja iwapo mtu asingenibeza kuwa eti "basi na wewe andika..."
Wakati mada inaendelea na unaipenda basi ifuatilie kwa makini; acha tabia ya kutoa matusi kwa watu wa pembeni kupitia thread hiyo hiyo kwa sababu unaweza kudreail mada yote.
Mkuu huyo hakuona jipya la kuchangia mivideo yake alivyoweka ni mchango au unafiki?sasa si ungekausha kama una busara kwanini utumie kosa la mtu mmoja kukejeli kazi ya mwenzako
Huposti sana si inatuhusu nn na hapa povu la nn au haupostiWivu wa nini? kuhusu makala za JF? You must be kidding!!! Come on! Kwanza hapa JF siku hizi mimi sipost sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hivi ntakua nasoma stori nikiwa na muwa mzima kabisa maana ile sehem yakwanza niliiga watoto wakishua nikanunua popcorn hata hazikuchukua round aisee.. Alafu sehem ya pili imenipita nini??