Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Nitasoma mkuu...
 
Hapa ndio elimu na kipaji ukivichanganya unapata ueledi kama wako bold,,sema hii vita ya kagera tumeisoma na kuiona katika movie,,tuletee MKUU hii makala tupate mawazo bora zaidi
Asante sana mkuu...

Nafanyia kazi
 
Mkuu the bold uko vema ila kuna kamuvi kamoja hivi kanafanana kweli ...star ni dogo flani mdogo tu tena kali ingiliwa kinyume na maumbile na mkuu wao ...yani wanafundishawa roho ya ukatili...wanaishi maporini tu
una Zungumzia Blood Diamond alicheza Leonardo Di Caprio na Jamaa Black hivii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…