Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #961
Nitasoma mkuu...Mkuu, leo nimeamua kujisomea biblia kufuatilia maisha ya waisrael. Hivi unajua operation za kukomboa mateka zimekuwa zikifanyika katika maisha ya waisrael?
Hebu soma 1 samwel 30:1-31, lkn kama hupendi kusoma sana anzia mstari wa 15. Utaona jinsi Daud alivyo komboa waisrael, wakiwemo wake zake wawili waliotekwa na mashehe wa kifilisti.