Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Sio vibaya na wengine wakasoma na kujua pia mkuu.
Binafsi nilikuwa sijui lolote kuhusiana na hili.

Na hii thread ni kuhusiana na operations za kijasusi zilizofanikiwa zaidi,na sio operation Entebe pekee.
Sawa sina tatizo na hilo, ila nilipoona huu uzi nikakikumbuka hicho kitabu!!
 
Very interesting
 
Nimechoka kusubiri nikaingia google kusoma Nishamaliza yote[emoji54]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…