Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Mkuu kuna page ya CHOZI LA MOYO MEDIA huku Facebook jamaa anakuibia mzigo mzimamzima aisee

Kweli aisee nilicoment nikamchana makavu Jamaa, maana anacopy huku Jf anapeleka kwenye page yake naye anakula misifa kama the Bold na Niffa.
Mkuu kuna page ya CHOZI LA MOYO MEDIA huku Facebook jamaa anakuibia mzigo mzimamzima aisee
 
Inauma sana mtu(The Bold) kukusanya data zote kama hizi kuleta story kama hii halafu mtu mwingine ana copy na ku paste kisha anachukua credits.
 
Unaibiwa unaibiwa unaibiwa unaibiwa ni hayo tuu
Kaka kama hutojari
Tafuta hii page "CHOZI LA MOYO MEDIA" huko facebook
Ni hayo tu.
 
Braza the bold Luna MTU anaitwa udaku Instagram anaapp take play store kaiba moja ya kazi zako yani kacopy na kupaste kila kitu ile story ya Jambazi alieiba bank nying kwa ustadi mkubwa
 
Hao watu wanaomwibia mkuu wetu the bold makala zake na kuzipeleka kuleee kwao wananini japo si wampe support kwa kuwaambia waende WhatsApp wakalipe ada ili mkuu wetu asukume maisha.
aaaaaah

Mkuu the bold hii nichangamoto kubwa naomba uichukue kwa aina ambayo itakujenga na sio kukuharibia shauku yako

TUKO PAMOJA MKUU KWA SISI WANA JF WATIIFU TUSIOPENDA MWENZETU ASIIBIWE HIVI NAOMBA TWENDE KUWAHARIBIA KULEE IKIWEZEKANA TUWAAMBIE WAENDE WHATSAPP KULEE KWA MKUU WETU.
ILI APATE FAIDA..
 
Wizi hauepukiki
Hapa ni Bongo mambo yanaendeshwa kienyeji tu
1/Mi namshauri kama hataki watu waive zake basi asiwe anazileta hapa kabisa

2/Kama yupo kibiashara maslahi zaidi basi afanye uchambuzi/simulizi kwenye magazeti n.k kama akina Edo Kumwembe
Najua wazi ana blog na group la whatsapp ....mimi pia ni "shabiki wake" ila huwa napendelea kusoma zaidi makala anazoeandika kimyakimya

La sivyo ataendelea kulalamika kila siku
Ni hayo tu

Sawa amekusikia.
 
Ndo hivyo mdau hata wengine humu tushaibiwa maandishi yetu
Mi niliamua kuacha tu kuanzisha thread/makala
Ila kule kwa makapuku naandika tu ili kushare/kuelimishana na vijana wenzangu ila mtu akikopi maandishi yangu kule sitamind maana nimeamua Kushare tu na marafiki/wanaJf na kwa wingi wa post za kule kibaka anaweza kukopi lakini hadi apekuepekue kichizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

mkuu unaweza kuniambia ni makala gani zinapendwa ili na Mimi nijifunze kuandika nipate cash za kusukuma siku
 
Mdau humu JF kama mpango wako ni kupiga hela basi hapa ni sehemu nzuri ya kujitangaza

Ndio maana kuna matapeli kibao humu waneingia kwa gia tofauti tofauti ili wakubalike
We buni tu mtindo wake kumbuka kitu kimoja kinaweza kufanya na watu wengi lakini kitakowatofautisha ni ubunifu na pengine vipaji vya kuzaliwa tu....
Hivyo unaweza kutumia nguvu nyingi lakini kazi zako zisikubalike/kupendwa na hadhira

Mi nina dili tu la kufuga bata na vindoto kibao
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

mkuu we noma sasa nikianza humu wakiiba ndo nikashitaki
 
Back
Top Bottom