ngumba njeche
Senior Member
- Jan 22, 2017
- 184
- 146
Mvaa tai ujue mungu anakuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvaa tai ujue mungu anakuona
Sawa mkuu inabidi ukajitundike na iyo tai yako.
Ww wa wapi hii link fake mbona unatupa usumbufu
Daaah! kuna watu ni wasumbufu duniani duuuh!!
Mkuu the bold fanya kutupia basi inafuata weekend hii tutulie home. Nmejaribu kupitia na kule kwenye blog labda ntaambulia kitu lakin holaaaa. Mkuu tunaomba ufanyize tuburudike na kijumamosi hikiPamoja sana kiongozi! Shukrani
ndio maana imeshika no 1... mkuu..!!..Stori hii murua ila ya Entebbe imezidi utamu
[emoji106][Digitaldrimzafrica – Connecting Africa and Making a Difference] is good,have a look at it! Home
Mkuu THE BOLD, asante sana kwa wavuti hii. Ni nzuri sana.
HIVI KWENU HAKUNA WAKUBWA...????[emoji57] [emoji57] [emoji57] ....
kwanini tena kala banbold kala ban [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Asante sana mkuu.Pole sana Nifah na The Bold.
Poleni sana Mkuu The Bold na Nifah.Asante sana mkuu.
Kwa hiyo zile operations mpaka mrudi?Asante sana mkuu.