Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Kama kuna ban imepita nawashauri The bold na jF wayamalize tho hapa ni ishu ya maslahi coz Jf wanaamin hawajaja kuuza sura Mjini,Hizi stori wanaona the bold katumia kama kupiga hela hasa wasap kule tho nahis wangekua wanagawana kiasi flan maisha yanaenda.Ni hayo tu mana Jf wamekomaa sana mpaka kufika hapa Programming na mambo ya code sio mchezo.
 
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Kuna sheria za JF, ni muhimu kuzifuata. Bila utaratibu JF haitakuwa na maana yeyote

Mkuu hizo Sheria zinafanya kazi kwenye Web ya The bold Tu
Au hata web zingine??
Mbona kila leo zinatumwa link za Web za Mirlad ayo Wasafi.com na Nyinginezo Lakini hatujawahi ona Ban
Hii ni sawa Mkuu


Tuwe Wakweli ktk Comment
 

Vipi Kuhusu Link za Web nyingine Zinazotumwa humu Wao hawapigi Hela ni The bold pekeee

Mkuu hebu kuwa Muadilifu
 
Mkuu hizo Sheria zinafanya kazi kwenye Web ya The bold Tu
Au hata web zingine??
Mbona kila leo zinatumwa link za Web za Mirlad ayo Wasafi.com na Nyinginezo Lakini hatujawahi ona Ban
Hii ni sawa Mkuu


Tuwe Wakweli ktk Comment
Bila shaka hakupigwa ban sababu ya link, wala hizo link hakuanza kuweka hivi karibuni. kuna sababu nyingine. ambazo ziko wazi, kwa nilivyofuatilia, ni kuweka majina ya watu hadharani (JF) wakati wenye majina wanatumia id fake na hawaja-declare majina yao halisi, pia mambo ya PM anayaleta hadharani.
 

Rudia kuisoma utaona kaeleza kosa na wala usiisome kishabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…