witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Jamani shoga angu nimeumia...Asante sana mkuu.
Why this??[emoji24] [emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani shoga angu nimeumia...Asante sana mkuu.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Kuna sheria za JF, ni muhimu kuzifuata. Bila utaratibu JF haitakuwa na maana yeyote
Kama kuna ban imepita nawashauri The bold na jF wayamalize tho hapa ni ishu ya maslahi coz Jf wanaamin hawajaja kuuza sura Mjini,Hizi stori wanaona the bold katumia kama kupiga hela hasa wasap kule tho nahis wangekua wanagawana kiasi flan maisha yanaenda.Ni hayo tu mana Jf wamekomaa sana mpaka kufika hapa Programming na mambo ya code sio mchezo.
Bila shaka hakupigwa ban sababu ya link, wala hizo link hakuanza kuweka hivi karibuni. kuna sababu nyingine. ambazo ziko wazi, kwa nilivyofuatilia, ni kuweka majina ya watu hadharani (JF) wakati wenye majina wanatumia id fake na hawaja-declare majina yao halisi, pia mambo ya PM anayaleta hadharani.Mkuu hizo Sheria zinafanya kazi kwenye Web ya The bold Tu
Au hata web zingine??
Mbona kila leo zinatumwa link za Web za Mirlad ayo Wasafi.com na Nyinginezo Lakini hatujawahi ona Ban
Hii ni sawa Mkuu
Tuwe Wakweli ktk Comment
Bila shaka hakupigwa ban sababu ya link, wala hizo link hakuanza kuweka hivi karibuni. kuna sababu nyingine. ambazo ziko wazi, kwa nilivyofuatilia, ni kuweka majina ya watu hadharani (JF) wakati wenye majina wanatumia id fake na hawaja-declare majina yao halisi, pia mambo ya PM anayaleta hadharani.
Duu, Mkuu, Je, aliyehukumiwa kaelezea kosa lake au dukuduku lake? hilo ni dukuduku lake tu, kosa lake hadi kupigwa ban ni zaidi ya dukuduku lake. Fuatilia hadi mwisho wa uzi huo utaona mwishoni mamlaka inatoa tamko KAAINISHA AINA YA MAKOSA ALIYOFANYA. Kumnuka haijasemwa kosa lililosababisha apigwa banMKUU USIPOTOSHE MADA
Ufafanuzi kuhusu BAN ya The Bold
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/Ufafanuzi-kuhusu-BAN-ya-The-Bold.1277567/
Duu, Mkuu, Je, aliyehukumiwa kaelezea kosa lake au dukuduku lake? hilo ni dukuduku lake tu, kosa lake hadi kupigwa ban ni zaidi ya dukuduku lake. Fuatilia hadi mwisho wa uzi huo utaona mwishoni mamlaka inatoa tamko KAAINISHA AINA YA MAKOSA ALIYOFANYA. Kumnuka haijasemwa kosa lililosababisha apigwa ban
Kosa anajichagulia aliyehukumiwa au kosa analifahamu aliyehukumu?Rudia kuisoma utaona kaeleza kosa na wala usiisome kishabiki
Kosa anajichagulia aliyekosa au kosa analifahamu aliyehukumu?
mimi siye msemaji wa hakimu, na wewe usiwe msemaji wa hakimu pia, baki msemaji wa mhukumiwa tu maana unaamini alichokiandika ndicho ukweli pekeeLete post ya alie hukum tuione
mimi siye msemaji wa hakimu, na wewe usiwe msemaji wa hakimu pia, baki msemaji wa mhukumiwa tu maana unaamini alichokiandika ndicho ukweli pekee
sina mahaba niue, acha tu ale ban, maana kavunja sheria, hakuna namna.Coz nimekitoa kwa Muhusika na wewe Thibitisha usemayo kwa bango la Muhusika pia
sina mahaba niue, acha tu ale ban, maana kavunja sheria, hakuna namna.
Wivu gani huo? wa mapenzi, wa uandishi, wa wafuasi, wa kupigwa ban, au upi? fafanuaWivu tu Unawasumbua
Shame on you
Wivu gani huo? wa mapenzi, wa uandishi, wa wafuasi, wa kupigwa ban, au upi? fafanua
ni mvivu....... anasubiri kutafuniwa kila kitu wakati mwenyewe anaweza kugoogle na kupata kitu katika uhalisia wakeAsiejua Maana......
ni mvivu....... anasubiri kutafuniwa kila kitu wakati mwenyewe anaweza kugoogle na kupata kitu katika uhalisia wake