Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteIle picha ya Delta force inatokana na Tukio la kweli la kutekwa kwa ndege ya TWA Flight 847 mnamo juni 14 mwaka 1985.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] acha kuquuote uzi wote mkuu[emoji122]
[emoji122]
Ngoja nimshikie nafasi Joseverest.
Kuna movies na documentaries kadhaa kuhusu operation hiyo hapa yout tube
Akiweka sehemu ya tatu naomba unijulishe na mimiNakusubiria sanaaa
Ahsante kwa kutupa Historia, ila mimi napata shida ni kweli idi amin alikua katili hivyo au propaganda tu