Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Mkuu the bold sidhani kama hizo OP zingine zinaweka kuwa kali kama hii,dah mkuu wewe ni noma sana
 
Kwa hili ninekuelewa, lete kipande cha mwisho tuburudike.

Idd Amini Dada aka Nduli alikuwa naye nondo wa ukweli ila kwa Tz na Israel alikaaaaaaaaaa.
 
Kwa hili ninekuelewa, lete kipande cha mwisho tuburudike.

Idd Amini Dada aka Nduli alikuwa naye nondo wa ukweli ila kwa Tz na Israel alikaaaaaaaaaa.
Eti alikaa, yaani JAMII intelligence burudani sana.
 
Duuu very interesting,kama nacheki movie vile,nasubiri sehemu ya NNE kwa hamu.
 
The bold nataka kujua Hebrew language ndo kiebrania ????
Na nikweli kila myahudi(Jews) ni mu~israel lakini sio kila mu~israel ni myahudi...??? Anaejua anijibu
 
The bold nataka kujua Hebrew language ndo kiebrania ????
Na nikweli kila myahudi(Jews) ni mu~israel lakini sio kila mu~israel ni myahudi...??? Anaejua anijibu

Ndio mkuu... Kihebrania ndiyo Hebrew language

Pia ndio kwa asilimia fulani ni kweli kuwa kila myahudi ni muisrael lakini sio kila muisrael ni myahudi... (Nimesema ina ukweli kwa asilimia fulani)

Asilimia za ukweli ni zipi?

Kwanza tuanze mwanzo kabisa kutambua kuwa uyahudi ni asili (na dini) wakati Uisrael ni uraia..

Wayahudi wote asili yao ni Israel ndio maana ya kusema kila myahudi ni muisrael.. Lakini sio kila muisrael ni myahudi kwa sababu mtu yeyote hata kama sio myahudi anaweza pata uraia wa Israel akikidhi vigezo vya kisheria...

Nimesema ina ukweli kwa asilimia fulani kwa kuwa pia wapo wayahudi ambao sio Waisrael... Yani ni watu ambao wayahudi wanaoishi nchi nyingine na kuwa na uraia wa nchi hizo...


Mfano rahisi; (tuchukilie mfano wasukuma ndio lingekuwa kabila pekee Tanzania)

Ni sawa na kusema, kila msukuma ni mtanzania lakini sio kila mtanzania ni msukuma..

Kwa maana ya kwamba wasukuma asili yao ni watanzania, hivyo kwa asilimia fulani tunaweza kusema "kila mtanzania ni msukuma"
Pia tunasema sio kila mtanzania ni msukuma kwa kuwa kuna watanzania ambao sio wasukuma wana uraia wa kuomba... Mfano wahindi, waarabu, wazulu, n.k

Lakini hii nayo ina ukweli kwa kiasi fulani tu kwa kuwa wapo wasukuma ambao sio watanzania... Yaani unaweza kwenda marekani na kukutana na msukuma mwenye uraia wa Marekani...

Lakini huku nimeeleza mbali kidogo.. Lakini kwa faida ya swali ulilouliza, ndio twaweza sema "kila myahudi ni muisrael lakini sio kila muisrael ni myahudi"
 
Dah! Barikiwa sana Mkuu. Watu tupo macho mpaka mida ya wanga
 
Back
Top Bottom