MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,813
- 2,188
Mkuu The Bold husisitiza kwamba sio kila anachochambua na kuandika hakijawahi kuandikwa popote. Kila mtu duniani anafanya tafiti zake na anaandika kwa namna yakeUkisearch humu ndani, utakuta kuwa topiki hii ya 90 minutes at Entebbe imewahi kujadiliwa mara nyingi sana hapa kwenye forum. Kwa hiyo thread hii haina jambo lolote jipya la kujadili; badala yake nilichoona ni kopy and paste. Mojawapo ya mchango wangu kuhusu operation hii niliutoa mwaka 2011 tena katika thread nyingine kabisa. Isome hapa Ipyana Malecela (10 years on) - RIP
Thread nyingine zinazojadili jambo hilo hilo ni kama vile hii hapa ya mwaka 2013
90 Minutes in raid on Entebbe: Tukio la ukombozi wa mateka wa Kiyahudi Uganda
Hii issue ya Entebe watu wameandika maandika lukuki na kutengeneza sinema
Huu ni utafiti, uchambuzi na uandishi wa The Bold kama yeye. Nikiri kwamba uandishi wa huyu jamaa una viwango na ladha ya pekee kabisa hapa JF na kwingineko. Huyu jamaa aweza kuwa na sifa ya mwandishi wa rank ya juu kabisa kwa kizazi hiki
Subiri akimaliza utagundua kwamba ulichokua unafahamu kuhusu hii issue ni punje ya haradani kwa anachofahamu The Bold
Nakutakia ufuatiliaji murua!