Loraa sum's
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 260
- 280
wadau hiyo website yake inaitwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman anayejua hyo website anipm
Hivi hawa mod kwann wanafanya hivo lkn? kwa hyo wanazan tutafaidi sana au ni vp mbona siwaelew. Hebu nisaidie nawapataje hao mod niwatukane kidogoYan me nilimfata pm lakin akiituma mod. Wanaiminya tu mfate pm kuna namna atakusaidia make me alinisaidia
Watakupiga ban tuHivi hawa mod kwann wanafanya hivo lkn? kwa hyo wanazan tutafaidi sana au ni vp mbona siwaelew. Hebu nisaidie nawapataje hao mod niwatukane kidogo
Kwa hili mkuu wakitaka wanipige ban hata mwaka mzima sawa tuWatakupiga ban tu
[emoji23] [emoji23]Kwa hili mkuu wakitaka wanipige ban hata mwaka mzima sawa tu
Kua mstaarabu una quote li uzi lote hujui unachosha wenzako?daaa kiukweli story nime ipenda mno.., pongezi kwako mkuu
acha zako wwe, umechoshwa na nini hapo au unataka tuu uonekane mju aji...,!Kua mstaarabu una quote li uzi lote hujui unachosha wenzako?
mkuu ungetupa hiyo tovuti chembaMbona post iko juu tu mwanzoni
Nielekeze namimi mkuu maana sioni kabisa kuleAsante mkuu nimeiona,nimeisoma na kuenjoy kama kawaida