Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

Huyu ni mwanasheria mbobevu wa kimataifa (an international lawyer Robert Amsterdam – Amsterdam & Partners LLP ) mwenye kushawishi mkubwa kimataifa, viongozi wako wa CCM Mpya wanaweza wakatoa muongozo mpya wa kimya kimya ukashangaa wakaachia huu uchaguzi uwe huru na wa haki bila mizengwe wiki hii, chezea mbinyo wa kimataifa toka kwa wale mliowabatiza 'mabeberu '
umeunga tu! mwanasheria hawezi kuandika barua isiyokuwa na msingi wa kisheria. Inawezekana ni mwanasheria anayetafuta kujulikana Tanzania kwa kuandika pumba kama hizo mara kwa mara.
 
Hii ni dalili ya rushwa ya kitaasisi kuahidi kumpatia kazi ya kufanya Tundu Lissu aachane na kufanya siasa, labda mgombea wetu angekuwa aina ya wanasiasa ya akina David Kafulila wanaofikiria na kuombea teuzi.
Jiwe hawezi kukaa nchi moja na mtu anayemkosoa kila siku, anapanic na anaweza hata kuua. Jana katangaza rushwa hadharani. Lissu endelea kurusha makombora wewe ni dhahabu iliyokomaa adui atapanic atajimaliza mwenyewe. Tuna imani wewe ni mpango wa Mungu.
 
Hiyo haikuwandikwa na mwanasheria kwa sababu imejaa hisia kuliko sheria. Ningetegemea aandike kuwa sheria hazikufuatwa lakini anasema tu kuwa waliongeliwa ni wengi kupita kiasi bila kusema sababu za kuenguliwa kwao kama ni za kisheria au siyo za kiesheria.

Uenguaji wa wagombea bila msingi wowote wa kisheria siyo mzuri kwa sababu siyo tu unajenga picha kuwa viongozi wanaopatikana hawakuchaguliwa na wananchi bali walipita kwa njia dubious, ila inaweza pia kusababisha wananchi wasishirikiane na viongozi hao. Lakini barua hii na jinsi wagombea wanaoenguliwa wanavyoa kabiliana na uenguaji wa majina yao ni weak sana. Jana nilikuwa nasikiliza hotuba moja ya Pole pole akisema CCM waliepeleka wanasheria 72 kwenda kuwasaidia wagombea wao huko Zanzibar kunajaza form vizuri kwa mujibu wa sheria. Kwa nini CHADEMA nayo isiwe na wanasheria kuwasaidia wagombea wao? Kama tunataka tume inayofuata katiba na sheria za nchi, inabidi na sisi wenyewe tuheshimu na kufuata sheria za nchi, siyo kuzifuata tu pale zinapotufurahisha.
Kumbe ccm ndowalipaswa kuenguliwa wote maana hawakujaza form wenyewe kwa takwa lakisheria, mgombea ajaze mwenyewe ili ifahamike Kama anajuà kusoma nakuandika hasa Ile form yakiapo na10 inayomtaka ajaze mbele yamsimamizi, nikweli kumbe hamkufata Sheria ndomana hata Ile ya kawe ilijazwa kabla ya tarehe 25 .
 
Mimi sizijui fomu zinafananaje; lakini fomu zote za kiserikali zinatakiwa zijawe na mtu yeyote anayejua kusoma na kuandika katika kiswahili au kiingereza. Kujaza vibaya fomu hizo siyo kazi ya wasimamizi wa uchaguz au wa tume, wao wajibu wao ni kufuata sheria tu. Kama zamani watu walikuwa wanafanya makosa hayo na wakaachiwa hilo ni jambo jingine kabisa kwani tunajua kuna mambo mengi mabaya yalikuwa yanafanyika nchini kinyume cha sheruia lakini sasa hivi hayafanyiki tena.
Kila anayelalamikia kuenguliwa hatoi sababu ni kwa nini ameenguliwa kwani huwa wanaambiwa kabisa kuwa fomu yake haikukidhi sheria namba fulani; wanakimbilia malalamiko ya kutafuta huruma tu.
Hata ungekuwa unazijua hizo form iko hivi wasimamizi walipaswa watoe maelekezo kwa kila mgombea namna sahihi ya kujaza form ili uchaguzi ufanikiwe na ufanyike.

Kwanini wanaitwa wasimamizi?!

Ni ili kusimamia zoezi lote kanzia vigezo vya uraia wa muombaji hadi kuchukua, kujaza na kerejesha form.

Hawalipwi ili kuengua wagombea, wanapaswa kuwa wasimaizi wa mchakato wote
 
The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Jr[emoji769]
CCM iko organised...mmesahau wanasheria waliopewa tenda ya kuwasaidia wagombea wake ili wasifanye makosa kwenye mchakato huu wa uchaguzi!?
====
Huyo Amsterdam aandae tu mashtaka ya kutunga tu ili kumfichia uso mgombea fulani na aibu ya kushindwa kwenye sanduku la kura hiyo 28/10/2020.
 
It is better huyo kijinga mjinga aache kuingilia mambo ya ndani ya Nchi huru.
 
Viongozi wa CCM wa awamu hii ni wenye kustahili kupuuzwa na kudharauliwa sana, yaani wanaogopa kushindana kihoja nyakati hizi za kampeni, na kukimbilia njia ya mkato ya kuwaengua wapinzani wao ili wapite bila kupingwa!

Pamoja na majigambo yote wanayoyatoa juu kile kilichofanyika ndani ya miaka mitano ya utawala, mbona wanakuwa waoga kuyatetea hadharani? Katika kipindi hicho walijiruhusu wao wenyewe tu kufanya kampeni za kitaifa, na kuorodhesha mazuri waliyoyafanya, sasa mbona kipindi hiki wanaogopa kufanya hivyo mbele ya washindani wao?

Kumbe CCM imezoe vya kunyonga, vya kuchinja hawaviwezi. Sasa ni wakati muhimu kwa wakili huyu wa kimataifa kuwaonyesha sehemu ambazo wanaokota mizoga na aina ya vibudu ambavyo wanavipenda ktk menu zao za kila siku.
 
Huyu beberu wa Lisu hbana!

Kinachonifurahisha hakuna kiongozi wala mtu yeyote, wala taaasisi yoyote ya selikali aliehangaika kujibu uharo wake!

Na asiwepo yeyote wa kujibu huo upuuuzi wake.

Hatuwezi kuchagua rais atakaeongoza nchi kwa matamko na matakwa ya beberu wake sisi.

Hizi barua zake tutazijibu sisi wananchi oktoba 28
 
Nilikuuliza swali juzi kuhusu Mkapa ambaye alishika nafasi mbali mbali Serikali hadi kuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa maccm.

Kwanini unadhani Mkapa alitoa kauli hadharani ya kuonyesha kutokuwa imani na hiyo tumeccm!?
Tumeccm alafu bado mnazunguka kupiga kampeni!
 
Mpaka tulipofikia jiwe anapaswa kutambua kuwa Lissu ni maji marefu kwake, chochote kibaya atakachojaribu kumfanyia kita-backfire kwake mwenyewe. Shambulio la wasiojulikana limekuwa la hasara kwake. Jana kamtupia vijembe Lissu lakini madhara yamekuwa makubwa zaidi kwake yeye mwenyewe, maana makombora aliyorusha Lissu yalikuwa ya moja kwa moja. Sasa atambue pia akimpora lissu kura hasara atapata yeye mwenyewe. bora aache wateule wake watende haki kwa mujibu wa katiba na sheria.
Hivi Lisu atakuwa na kura za kuporwa?
 
Open Letter to the National Electoral Commission of Tanzania - Robert Amsterdam

Today Robert Amsterdam has issued the following open letter to Winston Charles, the Director of the National Electoral Commission (NEC) of Tanzania, on behalf of his client the presidential candidate Tundu Lissu.

The letter states: “We write to express our growing concern about the National Electoral Commission’s (“NEC”) systematic disqualification of opposition candidates, particularly members of the CHADEMA party, in the October 2020 general elections. We are deeply troubled by the National Electoral Commission’s disqualification of these candidates in breach of the National Elections Act and international human rights law.”

Amsterdam’s letter continues: “It has come to our attention that 1,020 CHADEMA candidates for chancellorships were disqualified by the National Electoral Commission out of 3,574 CHADEMA potential candidates. This represents an appalling disqualification rate of 28.5%. So too, the Commission has disqualified 53 CHADEMA candidates for Parliament out of 244 nominees, a 21.7% disqualification rate. These troubling disqualifications are not just limited to CHADEMA candidates and include other opposition parties as well. We note that 47 ACT-Wazalendo candidates were also disqualified. In contrast, the vast majority of governing party Chama Cha Mapinduzi (“CCM”) candidates were approved. The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”

Download the full copy of the open letter here or read below.
Rubbish!
 
Hawa watakuwa wanafanaya kazi kwa maelekezo ya ICC. Wanaandaa mazingila ya kesi baada ya vurugu za matangazo ya matokeo ya uchaguzi. Safari hi hakuna cha Jecha Wala Kailima na Lubuva wake!
 
Back
Top Bottom