Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

Vimemo kama hivi vinawatisha waonevu, Washaanza kuzuia Ndege zinazoruka na kukatiza nchini bila rubani.
 
Nilikuuliza swali juzi kuhusu Mkapa ambaye alishika nafasi mbali mbali Serikali hadi kuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa maccm.

Kwanini unadhani Mkapa alitoa kauli hadharani ya kuonyesha kutokuwa imani na hiyo tumeccm!?
Mkapa Aliwaitcha Watu Fulani WAPUMBAVU Hahaha R.I.P Baba sasa nakuelewa
 
Mkuu do you have a slightest idea of who is paying this guy ? Maana ni wakili ghali sana duniani! Am sure Lisu hana fedha ya kumlipa.
Truth be told, hata fedha za kujitibu miaka mitatu hakuwanalo... The way I see it, Lissu alilazimika kupata back-up ya watu kutoka nje ya nchi kwani hakuweza kutegemea nguvu ya wananchi pekee... history is a good teacher, anajua wanaomsapoti kwenye mikutano haimaanishi wako tayari kujitolea wawe wahanga itapobidi... so the back-up plan is International support.. ndio siasa za dunia ilivyo miaka nenda rudi... sidhani Lissu is a traitor, bali mazingira yaliyomzunguka ilimlazimisha afanye hivyo... I could br wrong, lakini I see it this way kwa sasa hivi..
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyo Amsterdam anawaharibia sana hamjui tu,siku mkija kushtuka its too late.

Kila siku yeye kuandika barua tu
 
Hiyo haikuwandikwa na mwanasheria kwa sababu imejaa hisia kuliko sheria. Ningetegemea aandike kuwa sheria hazikufuatwa lakini anasema tu kuwa waliongeliwa ni wengi kupita kiasi bila kusema sababu za kuenguliwa kwao kama ni za kisheria au siyo za kiesheria.

Uenguaji wa wagombea bila msingi wowote wa kisheria siyo mzuri kwa sababu siyo tu unajenga picha kuwa viongozi wanaopatikana hawakuchaguliwa na wananchi bali walipita kwa njia dubious, ila inaweza pia kusababisha wananchi wasishirikiane na viongozi hao. Lakini barua hii na jinsi wagombea wanaoenguliwa wanavyoa kabiliana na uenguaji wa majina yao ni weak sana. Jana nilikuwa nasikiliza hotuba moja ya Pole pole akisema CCM waliepeleka wanasheria 72 kwenda kuwasaidia wagombea wao huko Zanzibar kunajaza form vizuri kwa mujibu wa sheria. Kwa nini CHADEMA nayo isiwe na wanasheria kuwasaidia wagombea wao? Kama tunataka tume inayofuata katiba na sheria za nchi, inabidi na sisi wenyewe tuheshimu na kufuata sheria za nchi, siyo kuzifuata tu pale zinapotufurahisha.
Hivi zile Form zina kitu gani kikubwa kinachohitaji Legal assistance kujaza?

Hebu nionyeshe kifungu cha sheria yoyote ya uchaguzi na kanuni za uchaguzi zinazosema mgombea aenguliwe kwa kushindwa kujaza form ?

Ukinijibu hayo maswali yangu hayo itakuwa vizuri
 
Huyo Amsterdam aache kiherehere!

Uchaguzi wetu yeye unamhusu nini?

Naona kuna kitu anakitafuta. Na atakipata tu...
Wewe nyani ngabu kweli wewe ni nyani. Haiwezekani usione substence ya hiyo barua zaidi ya kukurupuka na kusema kiherehere.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyo Amsterdam anawaharibia sana hamjui tu,siku mkija kushtuka its too late.

Kila siku yeye kuandika barua tu
Safari hii hakuna pa kujificha. Anatuharibia nini? Kwani watanzania hawana macho ya kuona anachokiongelea Amsterdam? Nakuuliza watanzania hatuna macho ya kuona mpaka useme Amsterdam anatuharibia? Stop manipulation.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Open Letter to the National Electoral Commission of Tanzania - Robert Amsterdam

Today Robert Amsterdam has issued the following open letter to Winston Charles, the Director of the National Electoral Commission (NEC) of Tanzania, on behalf of his client the presidential candidate Tundu Lissu.

The letter states: “We write to express our growing concern about the National Electoral Commission’s (“NEC”) systematic disqualification of opposition candidates, particularly members of the CHADEMA party, in the October 2020 general elections. We are deeply troubled by the National Electoral Commission’s disqualification of these candidates in breach of the National Elections Act and international human rights law.”

Amsterdam’s letter continues: “It has come to our attention that 1,020 CHADEMA candidates for chancellorships were disqualified by the National Electoral Commission out of 3,574 CHADEMA potential candidates. This represents an appalling disqualification rate of 28.5%. So too, the Commission has disqualified 53 CHADEMA candidates for Parliament out of 244 nominees, a 21.7% disqualification rate. These troubling disqualifications are not just limited to CHADEMA candidates and include other opposition parties as well. We note that 47 ACT-Wazalendo candidates were also disqualified. In contrast, the vast majority of governing party Chama Cha Mapinduzi (“CCM”) candidates were approved. The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”

Download the full copy of the open letter here or read below.
Safi kabisa, hawa WAHUNI wameonesha dalili za kuvuruga uchaguzi mapema mno. Huu upuuzi wa wagombea wa CCM kupita bila kupingwa ni HUJUMA kwa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu.

Hawa WAHUNI ni WAHALIFU, wanapaswa kushitakiwa na kufikishwa kwenye Mahakama za Kimataifa haraka sana.
 
Truth be told, hata fedha za kujitibu miaka mitatu hakuwanalo... The way I see it, Lissu alilazimika kupata back-up ya watu kutoka nje ya nchi kwani hakuweza kutegemea nguvu ya wananchi pekee... history is a good teacher, anajua wanaomsapoti kwenye mikutano haimaanishi wako tayari kujitolea wawe wahanga itapobidi... so the back-up plan is International support.. ndio siasa za dunia ilivyo miaka nenda rudi... sidhani Lissu is a traitor, bali mazingira yaliyomzunguka ilimlazimisha afanye hivyo... I could br wrong, lakini I see it this way kwa sasa hivi..
Ok sawa. But they will definitely demand a pay back! An normally resources.
 
You’re right for 2020 election.
BAK Mshana Jr

Is it too late? Labda wataalam wa Sheria watufafanulie maana hii ilipitishwa Bunge liloisha:
1599036926640.png

https://www.parliament.go.tz/polis/...IKO YA SHERIA MBALIMBALI (NAMBA 3) , 2020.pdf
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usijipe matumaini hewa; huyo siyo mjomba wako bali anatafuta influence tu.
GADAFI alikua jeuri, kiburi, mwenye ukwasi wa kutosha, majivuno, kejeli na dharau kuliko baba yako Jiwe. Bado anaendelea kutamba?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
mtailinda wewe na nani? mapolisi? sahau ndugu!

tunapoelekea October 28, sasa hivi umma ndiyo umeshika hatamu. ndiyo maana mgombea wenu kanywea vibaya sana ule ubabe kwisha habari yake - yaani Lissu kamuondolea confidence yote.
jana tu baada ya kuusoma upepo akasinyaa mwenyewe akaona atumie turufu ya kumpelekea Lissu "love letter" hadharani!

Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako...
TAFUTA ILE CLIP YA 34 MINUTES YA MWANZA. lISSU NI nOUMAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Mkuu do you have a slightest idea of who is paying this guy ? Maana ni wakili ghali sana duniani! Am sure Lisu hana fedha ya kumlipa.
Wewe hutaki atupiganie tupate UHURU? MITANO YA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA INATOSHA.
 
Open Letter to the National Electoral Commission of Tanzania - Robert Amsterdam

Today Robert Amsterdam has issued the following open letter to Winston Charles, the Director of the National Electoral Commission (NEC) of Tanzania, on behalf of his client the presidential candidate Tundu Lissu.

The letter states: “We write to express our growing concern about the National Electoral Commission’s (“NEC”) systematic disqualification of opposition candidates, particularly members of the CHADEMA party, in the October 2020 general elections. We are deeply troubled by the National Electoral Commission’s disqualification of these candidates in breach of the National Elections Act and international human rights law.”

Amsterdam’s letter continues: “It has come to our attention that 1,020 CHADEMA candidates for chancellorships were disqualified by the National Electoral Commission out of 3,574 CHADEMA potential candidates. This represents an appalling disqualification rate of 28.5%. So too, the Commission has disqualified 53 CHADEMA candidates for Parliament out of 244 nominees, a 21.7% disqualification rate. These troubling disqualifications are not just limited to CHADEMA candidates and include other opposition parties as well. We note that 47 ACT-Wazalendo candidates were also disqualified. In contrast, the vast majority of governing party Chama Cha Mapinduzi (“CCM”) candidates were approved. The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”

Download the full copy of the open letter here or read below.
Kinachofurahisha ni kuona hawa imbecile hawashituki wala kujiangaisha na potential impact ya harakati za mwanasheria huyu kwa utawala wao, iwapo watashinda [japo kwa kuiba kura], na Tanzania kwa ujumla, mara baada ya uchaguzi. Wangejua yajayo wasingefanya wafanyayo. wafanyayo.
 
Back
Top Bottom