Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

umeunga tu! mwanasheria hawezi kuandika barua isiyokuwa na msingi wa kisheria. Inawezekana ni mwanasheria anayetafuta kujulikana Tanzania kwa kuandika pumba kama hizo mara kwa mara.
 
Hii ni dalili ya rushwa ya kitaasisi kuahidi kumpatia kazi ya kufanya Tundu Lissu aachane na kufanya siasa, labda mgombea wetu angekuwa aina ya wanasiasa ya akina David Kafulila wanaofikiria na kuombea teuzi.
Jiwe hawezi kukaa nchi moja na mtu anayemkosoa kila siku, anapanic na anaweza hata kuua. Jana katangaza rushwa hadharani. Lissu endelea kurusha makombora wewe ni dhahabu iliyokomaa adui atapanic atajimaliza mwenyewe. Tuna imani wewe ni mpango wa Mungu.
 
Kumbe ccm ndowalipaswa kuenguliwa wote maana hawakujaza form wenyewe kwa takwa lakisheria, mgombea ajaze mwenyewe ili ifahamike Kama anajuà kusoma nakuandika hasa Ile form yakiapo na10 inayomtaka ajaze mbele yamsimamizi, nikweli kumbe hamkufata Sheria ndomana hata Ile ya kawe ilijazwa kabla ya tarehe 25 .
 
Hata ungekuwa unazijua hizo form iko hivi wasimamizi walipaswa watoe maelekezo kwa kila mgombea namna sahihi ya kujaza form ili uchaguzi ufanikiwe na ufanyike.

Kwanini wanaitwa wasimamizi?!

Ni ili kusimamia zoezi lote kanzia vigezo vya uraia wa muombaji hadi kuchukua, kujaza na kerejesha form.

Hawalipwi ili kuengua wagombea, wanapaswa kuwa wasimaizi wa mchakato wote
 
The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Jr[emoji769]
CCM iko organised...mmesahau wanasheria waliopewa tenda ya kuwasaidia wagombea wake ili wasifanye makosa kwenye mchakato huu wa uchaguzi!?
====
Huyo Amsterdam aandae tu mashtaka ya kutunga tu ili kumfichia uso mgombea fulani na aibu ya kushindwa kwenye sanduku la kura hiyo 28/10/2020.
 
It is better huyo kijinga mjinga aache kuingilia mambo ya ndani ya Nchi huru.
 
Viongozi wa CCM wa awamu hii ni wenye kustahili kupuuzwa na kudharauliwa sana, yaani wanaogopa kushindana kihoja nyakati hizi za kampeni, na kukimbilia njia ya mkato ya kuwaengua wapinzani wao ili wapite bila kupingwa!

Pamoja na majigambo yote wanayoyatoa juu kile kilichofanyika ndani ya miaka mitano ya utawala, mbona wanakuwa waoga kuyatetea hadharani? Katika kipindi hicho walijiruhusu wao wenyewe tu kufanya kampeni za kitaifa, na kuorodhesha mazuri waliyoyafanya, sasa mbona kipindi hiki wanaogopa kufanya hivyo mbele ya washindani wao?

Kumbe CCM imezoe vya kunyonga, vya kuchinja hawaviwezi. Sasa ni wakati muhimu kwa wakili huyu wa kimataifa kuwaonyesha sehemu ambazo wanaokota mizoga na aina ya vibudu ambavyo wanavipenda ktk menu zao za kila siku.
 
Huyu beberu wa Lisu hbana!

Kinachonifurahisha hakuna kiongozi wala mtu yeyote, wala taaasisi yoyote ya selikali aliehangaika kujibu uharo wake!

Na asiwepo yeyote wa kujibu huo upuuuzi wake.

Hatuwezi kuchagua rais atakaeongoza nchi kwa matamko na matakwa ya beberu wake sisi.

Hizi barua zake tutazijibu sisi wananchi oktoba 28
 
Nilikuuliza swali juzi kuhusu Mkapa ambaye alishika nafasi mbali mbali Serikali hadi kuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa maccm.

Kwanini unadhani Mkapa alitoa kauli hadharani ya kuonyesha kutokuwa imani na hiyo tumeccm!?
Tumeccm alafu bado mnazunguka kupiga kampeni!
 
Hivi Lisu atakuwa na kura za kuporwa?
 
Rubbish!
 
Hawa watakuwa wanafanaya kazi kwa maelekezo ya ICC. Wanaandaa mazingila ya kesi baada ya vurugu za matangazo ya matokeo ya uchaguzi. Safari hi hakuna cha Jecha Wala Kailima na Lubuva wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…