Hiyo barua ni Lisu ndie anaandika mwemyewe Anampa Amsterdam a saini Huyo Amsterdam ni tapeli wa kimataifa alitaka kumtapeli bob wine wa Uganda akamshtukia akambwagaSidhani kama kina msiba wanajua maana yake
Jr[emoji769]
Wanajua wataishia kulaumiwa tu na baadae maisha yataendelea kama kawaida rejea baada ya uchaguzi kufutwa huko Zanzibar 2015.Kinachofurahisha ni kuona hawa imbecile hawashituki wala kujiangaisha na potential impact ya harakati za mwanasheria huyu kwa utawala wao, iwapo watashinda [japo kwa kuiba kura], na Tanzania kwa ujumla, mara baada ya uchaguzi. Wangejua yajayo wasingefanya wafanyayo. wafanyayo.
Ndiyo maana kuna nyakati niliuliza...Lissu atawalipaje 'jamii ya ulimwengu' ? Au ana mpango wa kutupiga bei watanzania kwa mafungu?? Sikupata jibu mpaka leo.Mkuu do you have a slightest idea of who is paying this guy ? Maana ni wakili ghali sana duniani! Am sure Lisu hana fedha ya kumlipa.
Usishange kuona Tanzania inaingizwa kwenye michezo ya siasa za kimataifa na kusababisha madhara kwa wananchi kama tunayoshuhudia yakitokea kwa Maduro huko Venezuela, au kama ilivyokuwa kwa Mugabe huko Zimbabwe!Wanajua wataishia kulaumiwa tu na baadae maisha yataendelea kama kawaida rejea baada ya uchaguzi kufutwa huko Zanzibar 2015.
Ili uwe huru sharti uache kutembeza bakuli. That's all.Huyu mbona anapenda kutufuata fuata watanzania ambao tuna nchi huru!
Unauliza swali la kipumbavu ndio maana hujapata jibu, hakuna mwenye akili timamu anayeweza kupoteza muda wake kukutafutia jibu la swali la kijinga.Ndiyo maana kuna nyakati niliuliza...Lissu atawalipaje 'jamii ya ulimwengu' ? Au ana mpango wa kutupiga bei watanzania kwa mafungu?? Sikupata jibu mpaka leo.
Huyo Amsterdam aache kiherehere!
Uchaguzi wetu yeye unamhusu nini?
Naona kuna kitu anakitafuta. Na atakipata tu...
Ha ha ha haa! Pole kamanda...! Povu ruksa kipindi hiki hili mradi hauvunji sheria za NEC ama TCRA!Unauliza swali la kipumbavu ndio maana hujapata jibu, hakuna mwenye akili timamu anayeweza kupoteza muda wake kukutafutia jibu la swali la kijinga.
Safari hii hakuna pa kujificha. Anatuharibia nini? Kwani watanzania hawana macho ya kuona anachokiongelea Amsterdam? Nakuuliza watanzania hatuna macho ya kuona mpaka useme Amsterdam anatuharibia? Stop manipulation.
Huyo Amsterdam anawaharibia sana hamjui tu,siku mkija kushtuka its too late.
Kila siku yeye kuandika barua tu
Safari hii hakuna pa kujificha. Anatuharibia nini? Kwani watanzania hawana macho ya kuona anachokiongelea Amsterdam? Nakuuliza watanzania hatuna macho ya kuona mpaka useme Amsterdam anatuharibia? Stop manipulation.
Jibu swali. Kwani watanzania hatuna macho? Wagombea wa upinzani hawaenguliwi? Sasa Amsterdam anaharibu nini hapo? Acheni ujinga.Anachokifanya Amsterdam ni big manipulation
Jibu swali. Kwani watanzania hatuna macho? Wagombea wa upinzani hawaenguliwi? Sasa Amsterdam anaharibu nini hapo? Acheni ujinga.
Mungu wabariki wazunguHuyo Amsterdam aache kiherehere!
Uchaguzi wetu yeye unamhusu nini?
Naona kuna kitu anakitafuta. Na atakipata tu...
Mungu wabariki wazungu
First and foremost, the letter is the work of Lissu who uses Amsterdam as a "frontrunner"! I am wondering why Lissu is doing this, as he has all the rights and ability to write straight to NEC. Further, all disqualified candidates have the right to appeal to NEC and to other appeal organs as stipulated in our different laws and regulations and that is what they have done. Lissu is doing this as a means of trying to "force" NEC and other Appeal bodies to favor their disqualified candidates. Whichever way, the laws pertaining to this exercise will be followed to the letter and justice will be done without caring what Amsterdam or Lissu writes. We are a free and law adhering State.Open Letter to the National Electoral Commission of Tanzania - Robert Amsterdam
Today Robert Amsterdam has issued the following open letter to Winston Charles, the Director of the National Electoral Commission (NEC) of Tanzania, on behalf of his client the presidential candidate Tundu Lissu.
The letter states: “We write to express our growing concern about the National Electoral Commission’s (“NEC”) systematic disqualification of opposition candidates, particularly members of the CHADEMA party, in the October 2020 general elections. We are deeply troubled by the National Electoral Commission’s disqualification of these candidates in breach of the National Elections Act and international human rights law.”
Amsterdam’s letter continues: “It has come to our attention that 1,020 CHADEMA candidates for chancellorships were disqualified by the National Electoral Commission out of 3,574 CHADEMA potential candidates. This represents an appalling disqualification rate of 28.5%. So too, the Commission has disqualified 53 CHADEMA candidates for Parliament out of 244 nominees, a 21.7% disqualification rate.
These troubling disqualifications are not just limited to CHADEMA candidates and include other opposition parties as well. We note that 47 ACT-Wazalendo candidates were also disqualified. In contrast, the vast majority of governing party Chama Cha Mapinduzi (“CCM”) candidates were approved. The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”
Download the full copy of the open letter here or read below.
It is true, the shocking disparity ……… is blatant (wazi and transparent) na deeply problematic (yenye matatizo na shida) kwa vile wapinzani wameshindwa kuendana na matakwa ya sheria na miongozo ya Tume ya Uchaguzi kwenye hata vitu vidogovidogo kama ujazaji wa fomu husika katika uchaguzi huu.The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Jr[emoji769]
It is true, the shocking disparity ……… is blatant (wazi and transparent) na deeply problematic (yenye matatizo na shida) kwa vile wapinzani wameshindwa kuendana na matakwa ya sheria na miongozo ya Tume ya Uchaguzi kwenye hata vitu vidogovidogo kama ujazaji wa fomu husika katika uchaguzi huu.