Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

Jukumu la tume ya uchaguzi ni kuhakikisha kila raia anayejitokeza kushiriki uchaguzi anasaidiwa kufikia malengo hayo, siyo jukukumu la tume ku police form za wagombea na kujiweka upande wa chama tawala kuwaengua wagombea wa vyama shiriki na kuwaacha ccm pekee.

Uchaguzi ni kura siyo ujanja ujanja huu wa kudhulumu haki za kiraia.

Wakivurunda uchaguzi NCHI ISIMAME WAHUSIKA WAONDOLEWE, turudie uchaguzi.

Tunataka FREE and FAIR election tu,

Wanaotaka kuharibu uchaguzi wapelekwe ICC
 
Open Letter to the National Electoral Commission of Tanzania - Robert Amsterdam

Today Robert Amsterdam has issued the following open letter to Winston Charles, the Director of the National Electoral Commission (NEC) of Tanzania, on behalf of his client the presidential candidate Tundu Lissu.

The letter states: “We write to express our growing concern about the National Electoral Commission’s (“NEC”) systematic disqualification of opposition candidates, particularly members of the CHADEMA party, in the October 2020 general elections. We are deeply troubled by the National Electoral Commission’s disqualification of these candidates in breach of the National Elections Act and international human rights law.”

Amsterdam’s letter continues: “It has come to our attention that 1,020 CHADEMA candidates for chancellorships were disqualified by the National Electoral Commission out of 3,574 CHADEMA potential candidates. This represents an appalling disqualification rate of 28.5%. So too, the Commission has disqualified 53 CHADEMA candidates for Parliament out of 244 nominees, a 21.7% disqualification rate. These troubling disqualifications are not just limited to CHADEMA candidates and include other opposition parties as well. We note that 47 ACT-Wazalendo candidates were also disqualified. In contrast, the vast majority of governing party Chama Cha Mapinduzi (“CCM”) candidates were approved. The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”

Download the full copy of the open letter here or read below.
Hiyo haikuwandikwa na mwanasheria kwa sababu imejaa hisia kuliko sheria. Ningetegemea aandike kuwa sheria hazikufuatwa lakini anasema tu kuwa waliongeliwa ni wengi kupita kiasi bila kusema sababu za kuenguliwa kwao kama ni za kisheria au siyo za kiesheria.

Uenguaji wa wagombea bila msingi wowote wa kisheria siyo mzuri kwa sababu siyo tu unajenga picha kuwa viongozi wanaopatikana hawakuchaguliwa na wananchi bali walipita kwa njia dubious, ila inaweza pia kusababisha wananchi wasishirikiane na viongozi hao. Lakini barua hii na jinsi wagombea wanaoenguliwa wanavyoa kabiliana na uenguaji wa majina yao ni weak sana. Jana nilikuwa nasikiliza hotuba moja ya Pole pole akisema CCM waliepeleka wanasheria 72 kwenda kuwasaidia wagombea wao huko Zanzibar kunajaza form vizuri kwa mujibu wa sheria. Kwa nini CHADEMA nayo isiwe na wanasheria kuwasaidia wagombea wao? Kama tunataka tume inayofuata katiba na sheria za nchi, inabidi na sisi wenyewe tuheshimu na kufuata sheria za nchi, siyo kuzifuata tu pale zinapotufurahisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tusishangae muswaada UCHWARA ukapelekwa Bungeni ili kuwapiga marufuku wanasheria ambao si Watanzania kushiriki kwenye kesi zinazohusu Uchaguzi FAKE wa Tanzania.
Too late...

Jr[emoji769]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nilikuuliza swali juzi kuhusu Mkapa ambaye alishika nafasi mbali mbali Serikali hadi kuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa maccm.

Kwanini unadhani Mkapa alitoa kauli hadharani ya kuonyesha kutokuwa imani na hiyo tumeccm!?

Hiyo haikuwandikwa na mwanasheria kwa sababu imejaa hisia kuliko sheria. Ningetegemea aandike kuwa sheria hazikufuatwa lakini anasema tu kuwa waliongeliwa ni wengi kupita kiasi bila kusema sababu za kuenguliwa kwao kama ni za kisheria au siyo za kiesheria.

Uenguaji wa wagombea bila msingi wowote wa kisheria siyo mzuri kwa sababu siyo tu unajenga picha kuwa viongozi wanaopatikana hawakuchaguliwa na wananchi bali walipita kwa njia dubious, ila inaweza pia kusababisha wananchi wasishirikiane na viongozi hao. Lakini barua hii na jinsi wagombea wanaoenguliwa wanavyoa kabiliana na uenguaji wa majina yao ni weak sana. Jana nilikuwa nasikiliza hotuba moja ya Pole pole akisema CCM waliepeleka wanasheria 72 kwenda kuwasaidia wagombea wao huko Zanzibar kunajaza form vizuri kwa mujibu wa sheria. Kwa nini CHADEMA nayo isiwe na wanasheria kuwasaidia wagombea wao? Kama tunataka tume inayofuata katiba na sheria za nchi, inabidi na sisi wenyewe tuheshimu na kufuata sheria za nchi, siyo kuzifuata tu pale zinapotufurahisha.
 
Nilikuuliza swali juzi kuhusu Mkapa ambaye alishika nafasi mbali mbali Serikali hadi kuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa maccm.

Kwanini unadhani Mkapa alitoa kauli hadharani ya kuonyesha kutokuwa imani na hiyo tumeccm!?
Sikuona swali lako ila Mkapa kusema kuwe na tume huru siyo lazima awe na maana kuwa tume iliyopo siyo huru. Mkapa mwenywe alichaguliwa chini ya uangalizi wa tume hiyo hiyo. Leta taarifa kamili, kwani wakati mwingine ni rahisi sana kumis-quote maneno ya mtu na kuyafanya yawe na maana tofauti.
 
Uchaguzi huu utakua very interesting...Magufuli nadhani hata yeye huko nyumbani anawaza 24/7 jinsi atakavyo kabiliana na Lissu..the person that he wanted dead...mlipiga kelele ooh Lissu anatafuta huruma ni mgonjwa sijui upuuzi gani, kawajia na ilani muruuuuuuuuuuuuuuuuuuaaaaaaaaaaaaaaaa,Point tatu .. Magufuli chali!!...Watanzania tumchague Lissu chonde chonde anatufaa ana vision,clearly ana pragmatic solutions to our problems...
 
Hiyo haikuwandikwa na mwanasheria kwa sababu imejaa hisia kuliko sheria. Ningetegemea aandike kuwa sheria hazikufuatwa lakini anasema tu kuwa waliongeliwa ni wengi kupita kiasi bila kusema sababu za kuenguliwa kwao kama ni za kisheria au siyo za kiesheria.

Uenguaji wa wagombea bila msingi wowote wa kisheria siyo mzuri kwa sababu siyo tu unajenga picha kuwa viongozi wanaopatikana hawakuchaguliwa na wananchi bali walipita kwa njia dubious, ila inaweza pia kusababisha wananchi wasishirikiane na viongozi hao. Lakini barua hii na jinsi wagombea wanaoenguliwa wanavyoa kabiliana na uenguaji wa majina yao ni weak sana. Jana nilikuwa nasikiliza hotuba moja ya Pole pole akisema CCM waliepeleka wanasheria 72 kwenda kuwasaidia wagombea wao huko Zanzibar kunajaza form vizuri kwa mujibu wa sheria. Kwa nini CHADEMA nayo isiwe na wanasheria kuwasaidia wagombea wao? Kama tunataka tume inayofuata katiba na sheria za nchi, inabidi na sisi wenyewe tuheshimu na kufuata sheria za nchi, siyo kuzifuata tu pale zinapotufurahisha.
Form ya uchaguzi inapaswa iweze kujazwa hata na mtoto wa darasa la tatu, anayejua kusoma na kuandika.

Uchaguzi ni takwa la kikatiba na ni haki ya kila raia mwenye umri wa muaka 18 kushiriki.

Siyo form zianze kujazwa na wanasheria kwa malipo, hilo linapoteza uhalali na haki ya kila raia kushiriki zoezi la kuchaguana na kuchaguliwa.

Mkienda hivi iko siku mtatuambia na kura zipigwe na wanasheria, ndio wanaelewa kupiga kura bila makosa.

CCM ni wahuni miaka yote tunataka uhuni wao uishe waruhusu haki sasa.
 
Hiyo haikuwandikwa na mwanasheria kwa sababu imejaa hisia kuliko sheria. Ningetegemea aandike kuwa sheria hazikufuatwa lakini anasema tu kuwa waliongeliwa ni wengi kupita kiasi bila kusema sababu za kuenguliwa kwao kama ni za kisheria au siyo za kiesheria.

Uenguaji wa wagombea bila msingi wowote wa kisheria siyo mzuri kwa sababu siyo tu unajenga picha kuwa viongozi wanaopatikana hawakuchaguliwa na wananchi bali walipita kwa njia dubious, ila inaweza pia kusababisha wananchi wasishirikiane na viongozi hao. Lakini barua hii na jinsi wagombea wanaoenguliwa wanavyoa kabiliana na uenguaji wa majina yao ni weak sana. Jana nilikuwa nasikiliza hotuba moja ya Pole pole akisema CCM waliepeleka wanasheria 72 kwenda kuwasaidia wagombea wao huko Zanzibar kunajaza form vizuri kwa mujibu wa sheria. Kwa nini CHADEMA nayo isiwe na wanasheria kuwasaidia wagombea wao? Kama tunataka tume inayofuata katiba na sheria za nchi, inabidi na sisi wenyewe tuheshimu na kufuata sheria za nchi, siyo kuzifuata tu pale zinapotufurahisha.
kwa nini awamu hii ndio wapinzani hawajui kujaza fomu, sema mlinogewa na uchafuzi wa serikali za mitaa ila safari hii lissu anawang'oa. uchaguzi ukiwa huru atawang'oa na usipokuwa huru pia atawang'oa. Option nzuri na salama kwa wahusika ni kuacha uchaguzi uwe huru.
 
kwa nini awamu hii ndio wapinzani hawajui kujaza fomu, sema mlinogewa na uchafuzi wa serikali za mitaa ila safari hii lissu anawang'oa. uchaguzi ukiwa huru atawang'oa na usipokuwa huru atawang'oa.
Form ya uchaguzi inapaswa iweze kujazwa hata na mtoto wa darasa la tatu, anayejua kusoma na kuandika.

Uchaguzi ni takwa la kikatiba na ni haki ya kila raia mwenye umri wa muaka 18 kushiriki.

Siyo form zianze kujazwa na wanasheria kwa malipo, hilo linapoteza uhalali na haki ya kila raia kushiriki ziezi la kuchaguana na kuchaguliwa.

Mkienda hivi iko siku mtatuambia na kura zipigwe na wanasheria, ndio wanaelewa kupiga kura bila makosa.

CCM ni wahuni miaka yote tunataka uhuni wao uishe waruhusu haki sasa.

Mimi sizijui fomu zinafananaje; lakini fomu zote za kiserikali zinatakiwa zijawe na mtu yeyote anayejua kusoma na kuandika katika kiswahili au kiingereza. Kujaza vibaya fomu hizo siyo kazi ya wasimamizi wa uchaguz au wa tume, wao wajibu wao ni kufuata sheria tu. Kama zamani watu walikuwa wanafanya makosa hayo na wakaachiwa hilo ni jambo jingine kabisa kwani tunajua kuna mambo mengi mabaya yalikuwa yanafanyika nchini kinyume cha sheruia lakini sasa hivi hayafanyiki tena.
Kila anayelalamikia kuenguliwa hatoi sababu ni kwa nini ameenguliwa kwani huwa wanaambiwa kabisa kuwa fomu yake haikukidhi sheria namba fulani; wanakimbilia malalamiko ya kutafuta huruma tu.
 
Uchaguzi huu utakua very interesting...Magufuli nadhani hata yeye huko nyumbani anawaza 24/7 jinsi atakavyo kabiliana na Lissu..the person that he wanted dead...mlipiga kelele ooh Lissu anatafuta huruma ni mgonjwa sijui upuuzi gani, kawajia na ilani muruuuuuuuuuuuuuuuuuuaaaaaaaaaaaaaaaa,Point tatu .. Magufuli chali!!...Watanzania tumchague Lissu chonde chonde anatufaa ana vision,clearly ana pragmatic solutions to our problems...
Mpaka tulipofikia jiwe anapaswa kutambua kuwa Lissu ni maji marefu kwake, chochote kibaya atakachojaribu kumfanyia kita-backfire kwake mwenyewe. Shambulio la wasiojulikana limekuwa la hasara kwake. Jana kamtupia vijembe Lissu lakini madhara yamekuwa makubwa zaidi kwake yeye mwenyewe, maana makombora aliyorusha Lissu yalikuwa ya moja kwa moja. Sasa atambue pia akimpora lissu kura hasara atapata yeye mwenyewe. bora aache wateule wake watende haki kwa mujibu wa katiba na sheria.
 
Robert Amsterdam aliweza kusimamia kesi dhidi ya serikali ya Russia ya Vladimir Putin ikabanwa ikakubali kuwajibika kwa kupora haki , itakuwa hii serikali ya CCM Mpya na viongozi wake.

Muda bado upo upande wa CCM Mpya kujirekebisha mchakato wote wa uchaguzi urudi kuwa wa haki na huru kuanzia wiki hii ili iepukane na dhahma inayoweza kuwakumba serikali ya CCM Mpya ikifanya mioyo yao kuwa migumu ili washinde ktk uchaguzi usio huru na wa haki.
Usijipe matumaini hewa; huyo siyo mjomba wako bali anatafuta influence tu.
 
The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”
emoji2827.png
emoji2827.png
emoji2827.png
emoji2827.png
emoji2827.png
emoji2827.png

Jr
emoji769.png
Seriously??

Hakika makamanda hamna kabisa akili!!!

Wewe akili yako inaonekana imekalia nyuma, leta hoja na sio vioja
 
Back
Top Bottom