Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania


A typical case of where English and law differ.

Please be informed English is a language but law is a profession.

Wait to see who is to address this and how.

For sure, it is not every Tom, Dick, Harry and nyani!
 
Utopolo mtupu, hawana lolote hao! They are toothless dogs!
Ingelikuwa tunajitegemea alau kwa asilimia sitini ungekuwa sahihi. Aidha ulikuwa mtoto enzi za Mwalimu au hukuwa umezaliwa...
Tafuta sababu za kufa viwanda na uchumi wa Tanzania miaka ya 197+~ 80+ utapata jawabu.
Majuto huja baadae...
TUJISAHIHISHE
 
Endeleeni tu kuandika eti mabeberu. Sasa kama ni mabeberu au ni ng'ombe ndo mtajua sasa hivi
 
Akili zenu mnazijua ninyi tu[emoji28][emoji28][emoji28], kwa hiyo mnategemea Lissu atakuwa Rais wa JMT?
huna kitu kichwani punguani ww, huna hoja, mihemko tu, elimu yenyewe ya kuunga unga, kuwa makini mtoto
 
Popularity ? Yaani watu wanafanya vitu serious unaita popularity ?
Hivi unaiona hiyo barua ni ya mchezo mchezo tu ?
 
Barua tuu?hata uhuru alienda akarudi saa hivi anaendelea na mambo yake
 
Umemsoma huyo alivyosema awali ...kwamba wengine wote wanaounga mkono CCM their necks will be broken...sasa unaonaje hiyo?
 
Kupona majeraha ya risasi alizopigwa na nani vile, tukumbushe mkuu tafadhali. Tuambie vile vile huyo/hao waliompiga risasi wako nje kwa dhamana? wadhamini wao hawajajitoa bado?
 
Among hayo 'mambo yake' ni kuheshimu katiba na sheria ikiwemo ya kulinda raia wake. Hili la kulinda raia wake serikali hii imeshindwa kiasi kwamba raia amomba ulinzi nje dhidi ya serikali yake. Hii kwa kweli mkubali mkatae ni aibu kubwa!
Daa.. Ni Kama watoto kuomba ulinzi wasiumizwe na baba yao. Inasikitisha sana
 
Bado Mchina hajawa na nguvu ya kutusaidia mbinyo wa Marekani!!
Tupo pabaya sana kwenye tanuru la moto hao wote walio tajwa apo wapo kwenye 18 zao!! MUNGU atuepushe na hili balaa maana tunatafutwa kama madini Adim!
Fundi nakuitaaaa ....!!! [emoji44]

Nazani Nchi hii Sasa imeingia kwenye 18 zao hawa watu.

Na ushamba huu wa madarakani wa kupenda kusifiwa, sidhani kama atashauri vizuri Kwa uzito huu wa hii Barua.
 
Fundi nakuitaaaa ....!!! [emoji44]

Nazani Nchi hii Sasa imeingia kwenye 18 zao hawa watu.

Na ushamba huu wa madarakani wa kupenda kusifiwa, sidhani kama atashauri vizuri Kwa uzito huu wa hii Barua.
Mkuu hatu chomoki kwenye haya makucha aisee jiwe amesha tuingiza pabaya!
 
Wakuu,
Salaam.
Nimeziunganisha barua hizi hapo chini kama mnavyoona.
Kwa ufupi hawa jamaa wamekusudia kutoa onyo kwa wahusika endapo jambo lolote baya litamkuta mteja wao watachukua hatua stahili.
Wakuu,
Huo twitani nimekutana na tweet ye Robert Amsterderm akiinukuu barua ya Poslis ya tarehe 25/7/2020 ikionya juu ya watakaokwenda kumpokea Lissu.

"This is the statement circulated by the Tanzanian police, which attempts to instrumentalize the death of former President Mkapa as a pretext to block supporters and media from receiving
@TunduALissu
as he arrives to Dar es Salaam tomorrow. cc
@TomOdula @GeorgeObulutsa"

Hio ndio tweet aliyoandika, akionyesha kufuatilia kwa karibu sana yanayojiri.
https://twitter.com/robertamsterdam/status/1287447090373758987/photo/1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…