Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Super Villain

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2019
Posts
9,391
Reaction score
21,045
August Alsina (27) amerudi kwa kishindo kwenye muziki, amethibitisha kuwa kwenye mahusiano na mwanamama Jada Pinkett.

Kwenye mahojiano na Podcast ya Joe Budden, Alsina ambaye ameachia album mpya hivi karibuni; The Product III: State of Emergency, amefafanua ukweli wa taarifa juu ya penzi lake na Jada (48) ambaye ni mwanandoa wa Will Smith kwa miaka 23.
-
"Kiukweli nilikaa chini na Will Smith na kuzungumza juu ya mabadiliko katika ndoa yake ambapo kwa sasa wanaishi kwa ushirikiano (partnership) kwa muda mrefu wamekuwa hawashiriki tendo la ndoa." alisema August Alsina.

Aidha aliongeza kwamba Smith alimpa baraka zote za yeye [August] kuwa na Jada
-
"Alinipatia baraka zote na nilimwambia kwamba nimejikita kindakindaki kwenye mahusiano haya kwa miaka yote ya maisha yangu. Ninampenda sana kiasi cha kwamba ninaweza kufa sasa hivi na ni kawa sawa nikijua kwamba nilijitoa kwa mtu." alisema August Alsina na kukazia kwamba hajali ambacho watu watasema.

Baada ya mahojiano hayo ya August Alsina, mwakilishi wa Jada Pinkett ameibuka na kukanusha kwamba yote yaliyosemwa na mwimbaji huyo hayana ukweli wowote.
jadapinkettsmith-20200701-0001.jpg

augustalsina-20200701-0001.jpg
 
Wenzetu wako tofauti kidogo! Sometimes wanandoa wakiboreka kwenye sex wanatafuta other couple then wanabadalishana wapenzi ili kutafuta ladha mpya. Au wanaweza kununua malaya then wanapiga kitu cha three some.
Pia Kuna Swingers Club.
 
Hizi ndoa zingekuwepo Bongo sijui ingekuwaje 😆😆😆 kwakeli 🔥
 
Wenzetu wako tofauti kidogo! Sometimes wanandoa wakiboreka kwenye sex wanatafuta other couple then wanabadalishana wapenzi ili kutafuta ladha mpya. Au wanaweza kununua malaya then wanapiga kitu cha three some.
Pia Kuna Swingers Club.

Wanandoa!!!
 
Ni Ndoa ambayo inaruhusu mtu yeyote anaweza kuwa na mtu mwengine ukiwa nje ya nyumba inaweza vipi kuvunjika wakati unaruhusiwa kudate na mtu yeyote mahusiano ambayo hayana wivu ndio haya.
Mahusiano mengi ya kibongo ni sawa na open relationships tu sema hayako rasmi. Na hii ndio hupelekea watu kuumizana kila uchao. We need to advance ni ngumu sana kwa mwanaume kuwa na wivu na malaya.
 
Back
Top Bottom