Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Kick ..waweza kukuta hao kina will na Jada nyuma ya pazia ndio sponcers wake ..so hiyo scandal imepangwa tu.. Ijapokuwa kwa wenzetu mambo kama hayo hutokea ..hata ray j alikuwa ana m-date late Whitney baada ya Whitney kuharibikiwa na madawa
 
Jada na smith hawana kwa sasa hawana mahusiano ya kimapenzi au kingono ila wanaendelea kuwa pamoja kama partners, in case mmoja wao akataka kuwa na mtu mwingine ni ruksa lakini wanaendelea kuishi pamoja.
Amna wanatafunana kama kawaida mbona hawawezi kushi bila kufanya mapenzi.
 
Katika watu ambao nawakubali yani movie,life, ni will Smith Natamani siku nimuone muhuni live ni kitambo nakubali sana life like yupo vizuri sana kwenye yani anaweza kushawishi kuingia kwenye industry hiyo! Ila kwa upande wa dogo ameharibu kinyama kama ni kweli,
mwaka jana mbona walikuja Bongo na familia yake walienda serengeti.
 
Bongo ili tufike huko itawalazimu wanawake kutokuwa dependent wawe independent ..haiwezekani mwanaume umuhudumie mwanamke kwa kila kitu halafu umruhusu amegwe na watu wengine
Will Smith huyu mwanamke anampenda alimchukua kutoka kwa 2pac wakati huo huyu mwanamke alishamwambia will kuwa kama 2pac angekuwepo angesha muacha na asingeweza kuwa naye. Bongo tutafika hii stage mbona 😁😁
 
Fuatilia vizuri mkuu. Hawatafunani tena.
wanatafunana mzee ulimsikia will smith alicho sema jana nikuwa kakanusha hizi tarifa zote na kasema hakumpa go ahead Alsina kuwa atembee na mke wake swala la unyumba will anapewa kama kawaida lakini huwezi kufanya mapenzi home tu ni nje ya nyumba ndio unafanya huu upuuzi kwenye hii ndoa yao.
 
Back
Top Bottom