Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kwahiyo unahisi jada ni wa leo yule?
Anaonekana mcharo kuliko Wolper!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unahisi jada ni wa leo yule?
Kakubwa kale, mimi nimekajua mwaka 94 ndio kalikuwa kabintAnaonekana mcharo kuliko Wolper!
Ifike mahala wanaume wa kibongo wawe hivi ama kama Will SmithUmenikumbusha mwaka mmoja jamaa yangu alikuja na rafiki zake wakizungu zilikuwa couple 2 cha kushangaza sasa wale wanaume walimuomba mwenyeji wao awatafutie mwanamke mweusi wanahamu ya kujua ladha yake inakuwaje na kweli walikuja kumchapia pleple home na madem zao wapo sebleni na fresh kabisa no wivu no ugomvi hiyo cha mtoto sasa kuna siku sikuwepo nakuja kurudi usiku jamaa ananiambia na mademu nao walitaka kuchapwa na jamaa wa kiafrika jamaa akaomba ruhusa kwa mabwana zao wakasema it's okey kweli jamaa akatoka si unajua uswahilini wabongo tunavyopenda kitonga fasta tu akarudi na wana bila kujiuliza mara mbili mbili wakajua inaweza tokea fursa ya kwenda mbele kumbe wale wapo kistarehe tu basi wadau wakawachapa sana wale madada wa kizungu walitokea kuwaelewa ikawa wanawahonga honga ila hawakuondoka nao likizo ilipoisha wakaondoka zao ila kuna mmoja aliachiwa shooting camera hadi leo anayo inamuingizia pesa!
Mbona Will anahudumia mkewe Jada na bado anaishi nae na anasuuza rungu ya Alsina??Bongo ili tufike huko itawalazimu wanawake kutokuwa dependent wawe independent ..haiwezekani mwanaume umuhudumie mwanamke kwa kila kitu halafu umruhusu amegwe na watu wengine
Aliamua kurudisha urafikiIla namuonea huruma mke wa will wa kwanza .
Yule maana Ali file divorce enzi hizo akijua will atapotea maboya
Nahisi huwa anajutia sana uamuzi wake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Threesome inahusikaAliamua kurudisha urafiki
Ni rafiki wa Jada kabisaa hadi wanaenda family vacay nao
Nahisi wanafanya threesome wale sio bure
Lazima azungumzie hii ishu.Jada anavyojifanyaga activist kwenye show ya red talk table matumaini hili atalizungumzia
Asipoizungumzia kwa uwazi hii ishu ile show itabuma soon
Maana itaonekana ana double standard yeye si anapenda kila kitu wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaonjeshwa kidogo tu yeye kazama moja kwa moja. 😂😂😂Tatizo la alsina alizama.mapenzi
Angekuwa mpigaji Wala asingelia Lia
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapoteza maboya tu lakini will alimpa go ahead Alsina.Will Smith amekanusha hilo kasema Alsina ni mwongo apuuzwe
Unataka akubariki 😆😆 ukiwa na hela uzeeki kifala, uzee unakuja alafu unakata.Mbona aonekana mcharo vipi, hata mi akinipea nitawezana!
Ww ungeweza kufanya hivyo? 😊Aliamua kurudisha urafiki
Ni rafiki wa Jada kabisaa hadi wanaenda family vacay nao
Nahisi wanafanya threesome wale sio bure
Yataka moyo wa chuma😅Ww ungeweza kufanya hivyo? 😊
VP! We hukufanikiwa kupigaNilibahatika kufanya kazi kwenye crew yake,hapahapa bongo,nakumbuka ilikuwa 2007,alikuja ku shoot na wakapiga kambi arusha,walikodi magari yetu mawili na mimi nikawa naendesha mojawapo,ila kwa wiki takriban mbili walizokuwa hapo nilibahatika kumwona mara mbili tu,siku kadhaa baada ya kuja na siku wanavunja kambi,jamaa yupo simple sana,alikuja kutusalimu na kutuaga,akaisifia sana Tanzania na kuahidi kurudi tena,mwisho tulienda naye kutembelea kiwanda cha nguo cha AtoZ na alipotoka hapo akasepa zake airport kurudi marekani,tulipiga naye picha kadhaa za pamoja,mwingine niliyebahatika kuwa naye kwa karibu ni jamaa anaitwa BONO huyu alikuwa kiongozi na mpiga gita wa kundi la U2,huyu tulizurura naye kwa siku tatu,yeye alikuwa ni balozi wa WHO kwa kanda ya afrika,aliniachia na vijizawadi kadha wa kadha.
Basi haya mapenzi tuwaachie wenyewe wazungu.Yataka moyo wa chuma😅
Duhh! Hatari hiuWenzetu wako tofauti kidogo! Sometimes wanandoa wakiboreka kwenye sex wanatafuta other couple then wanabadalishana wapenzi ili kutafuta ladha mpya. Au wanaweza kununua malaya then wanapiga kitu cha three some.
Pia Kuna Swingers Club.
Hahaaa!duh!hivi inakuaje lakiniUmenikumbusha mwaka mmoja jamaa yangu alikuja na rafiki zake wakizungu zilikuwa couple 2 cha kushangaza sasa wale wanaume walimuomba mwenyeji wao awatafutie mwanamke mweusi wanahamu ya kujua ladha yake inakuwaje na kweli walikuja kumchapia pleple home na madem zao wapo sebleni na fresh kabisa no wivu no ugomvi hiyo cha mtoto sasa kuna siku sikuwepo nakuja kurudi usiku jamaa ananiambia na mademu nao walitaka kuchapwa na jamaa wa kiafrika jamaa akaomba ruhusa kwa mabwana zao wakasema it's okey kweli jamaa akatoka si unajua uswahilini wabongo tunavyopenda kitonga fasta tu akarudi na wana bila kujiuliza mara mbili mbili wakajua inaweza tokea fursa ya kwenda mbele kumbe wale wapo kistarehe tu basi wadau wakawachapa sana wale madada wa kizungu walitokea kuwaelewa ikawa wanawahonga honga ila hawakuondoka nao likizo ilipoisha wakaondoka zao ila kuna mmoja aliachiwa shooting camera hadi leo anayo inamuingizia pesa!
Mke wako ulimkuta bikra? Kumbuka kuna waliokutangulia na yeye hatakaa kuwasahau kwenye list yake. Wachana na wivu, utakufa siku si zako.Hahahah kwa level ya wivu nilio nao hio itakuwa kipengele! Ila kwa matumizi ya nje ya ndoa Open all the way!!!
Hivi mj alikuwa anatumika? Mbona alikuwa mtu mwema sanaHiyo family ina ushetani balaa ..pia huwa inatumika na illuminate kutangaza Sera zao kama Mj alivyokuwa anatumika .. Usishangazwe kabisa na hilo
Tinny ndo akaliwa na Mayweather? Mbona sasa T.I aliwaka kinoma?Hii pia TI na Tinny huwa wanafanya
Yaani wao wanaona kuachana Ni ujinga
Kinachopelekea watu waachane Ni kuchokana na kifungo Cha kukosa ladha za nje .
Sent using Jamii Forums mobile app