Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Umenikumbusha mwaka mmoja jamaa yangu alikuja na rafiki zake wakizungu zilikuwa couple 2 cha kushangaza sasa wale wanaume walimuomba mwenyeji wao awatafutie mwanamke mweusi wanahamu ya kujua ladha yake inakuwaje na kweli walikuja kumchapia pleple home na madem zao wapo sebleni na fresh kabisa no wivu no ugomvi hiyo cha mtoto sasa kuna siku sikuwepo nakuja kurudi usiku jamaa ananiambia na mademu nao walitaka kuchapwa na jamaa wa kiafrika jamaa akaomba ruhusa kwa mabwana zao wakasema it's okey kweli jamaa akatoka si unajua uswahilini wabongo tunavyopenda kitonga fasta tu akarudi na wana bila kujiuliza mara mbili mbili wakajua inaweza tokea fursa ya kwenda mbele kumbe wale wapo kistarehe tu basi wadau wakawachapa sana wale madada wa kizungu walitokea kuwaelewa ikawa wanawahonga honga ila hawakuondoka nao likizo ilipoisha wakaondoka zao ila kuna mmoja aliachiwa shooting camera hadi leo anayo inamuingizia pesa!
Ifike mahala wanaume wa kibongo wawe hivi ama kama Will Smith
Mambo ya kukuta mkeo anapumzika kidogo sehemu unaua ama kuzusha tafrani sio ustaarabu..
Na we kapumzike sehemu!
 
Bongo ili tufike huko itawalazimu wanawake kutokuwa dependent wawe independent ..haiwezekani mwanaume umuhudumie mwanamke kwa kila kitu halafu umruhusu amegwe na watu wengine
Mbona Will anahudumia mkewe Jada na bado anaishi nae na anasuuza rungu ya Alsina??
Mtizamo tu!

kuna point inafika money is nothing..hasa ukiwa nazo nyingi
 
Nilibahatika kufanya kazi kwenye crew yake,hapahapa bongo,nakumbuka ilikuwa 2007,alikuja ku shoot na wakapiga kambi arusha,walikodi magari yetu mawili na mimi nikawa naendesha mojawapo,ila kwa wiki takriban mbili walizokuwa hapo nilibahatika kumwona mara mbili tu,siku kadhaa baada ya kuja na siku wanavunja kambi,jamaa yupo simple sana,alikuja kutusalimu na kutuaga,akaisifia sana Tanzania na kuahidi kurudi tena,mwisho tulienda naye kutembelea kiwanda cha nguo cha AtoZ na alipotoka hapo akasepa zake airport kurudi marekani,tulipiga naye picha kadhaa za pamoja,mwingine niliyebahatika kuwa naye kwa karibu ni jamaa anaitwa BONO huyu alikuwa kiongozi na mpiga gita wa kundi la U2,huyu tulizurura naye kwa siku tatu,yeye alikuwa ni balozi wa WHO kwa kanda ya afrika,aliniachia na vijizawadi kadha wa kadha.
VP! We hukufanikiwa kupiga
 
Umenikumbusha mwaka mmoja jamaa yangu alikuja na rafiki zake wakizungu zilikuwa couple 2 cha kushangaza sasa wale wanaume walimuomba mwenyeji wao awatafutie mwanamke mweusi wanahamu ya kujua ladha yake inakuwaje na kweli walikuja kumchapia pleple home na madem zao wapo sebleni na fresh kabisa no wivu no ugomvi hiyo cha mtoto sasa kuna siku sikuwepo nakuja kurudi usiku jamaa ananiambia na mademu nao walitaka kuchapwa na jamaa wa kiafrika jamaa akaomba ruhusa kwa mabwana zao wakasema it's okey kweli jamaa akatoka si unajua uswahilini wabongo tunavyopenda kitonga fasta tu akarudi na wana bila kujiuliza mara mbili mbili wakajua inaweza tokea fursa ya kwenda mbele kumbe wale wapo kistarehe tu basi wadau wakawachapa sana wale madada wa kizungu walitokea kuwaelewa ikawa wanawahonga honga ila hawakuondoka nao likizo ilipoisha wakaondoka zao ila kuna mmoja aliachiwa shooting camera hadi leo anayo inamuingizia pesa!
Hahaaa!duh!hivi inakuaje lakini

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom