Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
- Thread starter
- #21
kwann tusiende more advance na ss 😆😆 ww unaweza kuishi ndoa ya hivi?Mahusiano mengi ya kibongo ni sawa na open relationships tu sema hayako rasmi. Na hii ndio hupelekea watu kuumizana kila uchao. We need to advance ni ngumu sana kwa mwanaume kuwa na wivu na malaya.