Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Aliamua kurudisha urafiki
Ni rafiki wa Jada kabisaa hadi wanaenda family vacay nao
Nahisi wanafanya threesome wale sio bure
Sheree ni mke wa mtu now! Naona huyu mama anajiheshimu sana, urafiki ni kwa ajili ya mtoto wake na will basi
 
Ukweli wanaujua wao
FB_IMG_1593668455981.jpg
 
Ulikuwepo wakatia anampa ?
Nazani ww ni mgeni sana na hii ndoa na hujui drama zake ungejua wala usingeuliza maana haya mambo hayakuanza leo toka 2010 huko. Na mm kuandika sana siwezi kwahiyo vitu hivi najua toka miaka hiyo nasio leo tu.
 
Wenzetu wako tofauti kidogo! Sometimes wanandoa wakiboreka kwenye sex wanatafuta other couple then wanabadalishana wapenzi ili kutafuta ladha mpya. Au wanaweza kununua malaya then wanapiga kitu cha three some.
Pia Kuna Swingers Club.
Sometimes hii threesome unaweza kupewa kama suprise gift kwenye tukio maalum kama siku ya kuzaliwa, nk.
 
Mahusiano mengi ya kibongo ni sawa na open relationships tu sema hayako rasmi. Na hii ndio hupelekea watu kuumizana kila uchao. We need to advance ni ngumu sana kwa mwanaume kuwa na wivu na malaya.
Tatizo wabongo wana wivu wa kijinga. Unakuta washaachana kitambo ila jamaa akukute na upo na huyo mwanamke lazima akuanzishie valangati
 
Back
Top Bottom