Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

And how can you prove that it's true or just mere claims made for publicity stunt?
So this is stunt?? LMAO πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Basi sawa kila mtu abaki katika anachokiamini sina haja ya kuanza kukueleza hizi drama zao za ndoa kuwa hazikuzaa leo period.
 
Wenzetu wako tofauti kidogo! Sometimes wanandoa wakiboreka kwenye sex wanatafuta other couple then wanabadalishana wapenzi ili kutafuta ladha mpya. Au wanaweza kununua malaya then wanapiga kitu cha three some.
Pia Kuna Swingers Club.
kuna kipindi niliona kwenye tv kinaitwa wife swap yaani watu wanabadilishana wake zao kwa mda ilinishangaza sana
 
Ishu ya huyo mmama enzi hizo alikuwa mpenzi wa Tupac,alimpenda sana Tupac na tupac alipofariki alipata msongo wa mawazo ikabidi aende kwa Will Smith maana Will alikuwa ashamfukuzia sana.

Lakini kwenye ndoa yao mda wote Will Smith alikuwa analalamika kwamba huyo mwanamke ameshindwa kumtoa akilini Tupac kiasi kwamba Will anakereka na kugombana mara kwa mara
 
Mara nyingi Will alishazungumzia hili huyu mzazi mwezie hajawahi kuacha kumzunguzia 2pac.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…