Open University of Tanzania imepatwa na nini kwani?

Aliomba round ipi mbona majina ya first round na second round niliyaona

kwenye website yao juzi na hata jana. Alafu tatizo nyie mnasubiria mpaka deadline ndio
mna haha
Sawa mkuu naomba hio PDF km jana uliweza kuingia au leta link yenye PDF tupakue
 
Pia ungeeleza aliomba Program gani, ufaulu wake upoje na

upo wapi ungekuwa rahisi zaidi.
Yeye yupo Mwanza ni qualified vigezo vya kusoma hio course vyote anavyo na alilipia kila kitu akajiunga kwa kujisajiri kalipa ada ya usajiri unalipia 10,000/- malipo ya serikali akajaza formu zao online kuomba kujiunga na Chuo haikuleta shida akawa anasubiri majibu kimya sasa akijaribu kuingia kwenye website aangalie km kuna taarifa zingine zozote au amejibiwa chochote km wanavyofanya vyuo vingine SUA, Mzumbe, UD anakumbana na hio changamoto website haifunguki
 
Website ya Out huwa inakuaga na hilo tatizo mara kwa mara hasa kipindi cha mitihani, matokeo yakitoka au wakati watu wanafanya application ila baada ya muda inakaa sawa hapo akijaribu badae inaweza kufunguka au kama anaweza aende kwenye centre yao iliyokaribu kupata majibu
 
Yap ni kweli matumizi yake ni makubwa kwa sababu ya moodle watu
wanasoma online ni tofauti na website za vyuo vingine matumizi ni
sio makubwa kwa wakati mmoja. Na leo weekend wengi wanasoma
 
Ndo hivyo Website ya Out ina facilitate activities nyingi sana maana wanafunzi wanasoma online sasa kazi zikiongezeka wakati wa application na kupandisha matokeo huwa inasumbua jamaa wajaribu kuiboresha ikidhi mahitaji kwa sasa watu wengi wanasoma huko out.
 
Kwa hio huko centre ndio watatoa majibu? Ila hiki Chuo kikubwa cha Serikali inakuaje kinakua na uzamani mwingi mboni vyuo vingine Server zipo on hata ishambuliwe vipi mfano mdogo UD Server haijawahi kuzima kizembe zembe km hawa? hii inaenda wiki sasa website imezima kila ukiingia website imezima hadi unajiuliza

Ndiyo maana waliweka regional centre!! Kuimarisha huduma zao, ukiolenda kwenye kituo cha mkoa unapata huduma zote unazotaka na uzuri wapo kila mkoa angalia kilicho karibu nawe tu!!

Mbinu; unapovisit centre unaweka ukaribu na staff inakusaidia mambo mengi sana. Unachukuwa mawasiliano ya huduma za mkoa, una ishu unavuta waya tu mambo yanakwenda sawa siyo website ikiyumba wewe unahanganyikiwa!

Kwa Tanzania haya mambo ya kawaida sana, chuo chenye wanafunzi 50,000+ lazima kuna muda haya mambo yatokee hasa kipindi cha registrations na kuelekea graduation ila nimeongea na mdau wanasema wapi kwenye process za kubadilisha servers kila kitu kitakaa sawa!!
 
Ndo hivyo Website ya Out ina facilitate activities nyingi sana maana wanafunzi wanasoma online sasa kazi zikiongezeka wakati wa application na kupandisha matokeo huwa inasumbua jamaa wajaribu kuiboresha ikidhi mahitaji kwa sasa watu wengi wanasoma huko out.
Ni kweli iboreshwe zaidi ikidhi idadi ya watu na kazi zao.
 
Ndiyo maana waliweka regional centre!! Kuimarisha huduma zao, ukiolenda kwenye kituo cha mkoa unapata huduma zote unazotaka na uzuri wapo kila mkoa angalia kilicho karibu nawe tu!!

Mbinu; unapovisit centre unaweka ukaribu na staff inakusaidia mambo mengi sana. Unachukuwa mawasiliano ya huduma za mkoa, una ishu unavuta waya tu mambo yanakwenda sawa siyo website ikiyumba wewe unahanganyikiwa!

Kwa Tanzania haya mambo ya kawaida sana, chuo chenye wanafunzi 50,000+ lazima kuna muda haya mambo yatokee hasa kipindi cha registrations na kuelekea graduation ila nimeongea na mdau wanasema wapi kwenye process za kubadilisha servers kila kitu kitakaa sawa!!
Sawa sawa, Centre ina saidia sana ukiwa na mawasiliano yao ukikwama

unawa check faster. OUT- Affordable Quality Education for all.
 
Back
Top Bottom