Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,812
- 1,373
hivi nitapataje phd ya kupewa bure sababu naitaman sana lakin sitak kusoma tena
hivi nitapataje phd ya kupewa bure sababu naitaman sana lakin sitak kusoma tena
Umepata wapi habari hii? Ninachojua haters walipinga Obama kupewa ile tuzoKulikuwa na harakari za kumnyang'anya tuzo hiyo...kutokana na kutokuishi yale aliyoyasema wakati anaingia madarakani
Kitendawili,teeega
Kwa ufupi
Kwa mujibu wa Profesa Mbwete, Rais Obama anakuwa mtu wa tano kutunukiwa tuzo hiyo baada ya kutanguliwa na Mwalimu Julias Nyerere, Rais wa kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela, Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Benjamin Mkapa.
Dar es Salaam. Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye kupitishwa na Mkuu wa OUT, Dk Asha Rose Migiro.
Tumeangalia vigezo vyote muhimu ambavyo mtu anastahili kupewa tuzo kama hii na tukaridhika kuwa Rais huyo anastahili kutunukiwa, alisema Profesa Mbwete.
Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.
My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.
Umepata wapi habari hii? Ninachojua haters walipinga Obama kupewa ile tuzo
Mi naona huko ni kumdhalilisha. OUT kama lilivyo jiuna lake haina hadhi ya kumpa Obama degree ya aina yoyote. Hizo phd za OUT wapewe akina Nape, Lukuvi, Lusinde. Hebu acheni kujipendekeza nyie waswahili fikirieni mambo ya msingi kuliko huo upuuzi.Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.
My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.
Hahitaji!
"Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind". - Robert Nesta Marley