Open University of Tanzania (OUT) kumtunuku PhD Obama

Open University of Tanzania (OUT) kumtunuku PhD Obama

[h=1][/h]

Dar es Salaam. Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye kupitishwa na Mkuu wa OUT, Dk Asha Rose Migiro.

“Tumeangalia vigezo vyote muhimu ambavyo mtu anastahili kupewa tuzo kama hii na tukaridhika kuwa Rais huyo anastahili kutunukiwa,” alisema Profesa Mbwete.

Kwa mujibu wa Profesa Mbwete, Rais Obama anakuwa mtu wa tano kutunukiwa tuzo hiyo baada ya kutanguliwa na Mwalimu Julias Nyerere, Rais wa kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela, Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Benjamin Mkapa.

Alisema hadi sasa OUT imetoa shahada saba za heshima, ambapo kati ya hizo mbili walitunukiwa mwanataaluma kutoka Marekani, Dk Jane Goodall na Mhadhiri wa Mawasiliano kutoka nchini Uingereza,David Mellor.
 
Nyie endeleeni tu kujipendekeza,Senegai kawaambia waukubali ushoga sasa msishangae mkaolewa hapa bongo na midevu yenu.Ujumbe wa wa miliberali 700 ameongozana nao watawawowa mchana mchana kweupee endeleeni tu kushobokea waliberali.
 
Kwa ufupi
Kwa mujibu wa Profesa Mbwete, Rais Obama anakuwa mtu wa tano kutunukiwa tuzo hiyo baada ya kutanguliwa na Mwalimu Julias Nyerere, Rais wa kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela, Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Benjamin Mkapa.
Dar es Salaam. Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye kupitishwa na Mkuu wa OUT, Dk Asha Rose Migiro.

“Tumeangalia vigezo vyote muhimu ambavyo mtu anastahili kupewa tuzo kama hii na tukaridhika kuwa Rais huyo anastahili kutunukiwa,” alisema Profesa Mbwete.
 
Kwa ufupi
Kwa mujibu wa Profesa Mbwete, Rais Obama anakuwa mtu wa tano kutunukiwa tuzo hiyo baada ya kutanguliwa na Mwalimu Julias Nyerere, Rais wa kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela, Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Benjamin Mkapa.
Dar es Salaam. Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye kupitishwa na Mkuu wa OUT, Dk Asha Rose Migiro.

“Tumeangalia vigezo vyote muhimu ambavyo mtu anastahili kupewa tuzo kama hii na tukaridhika kuwa Rais huyo anastahili kutunukiwa,” alisema Profesa Mbwete.
obama+phd.jpg

Yeye hiyo PHD Obama sio issue sana na wala hataona ni kitu cha maana sana , wenzetu wanaamini sana katika uwezo halali , akijitathmin akaona anao mchango mkubwa katika kukuza uchumi ataifuraia sana hiyo PHD ya heshima kumtunuku, lakini ikiwa ni ya kumpa kwa kujikomba tu na hali hiyo sifa hana kwake wala hataona ni kitu cha maana
 
Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.

My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.

Mkuu natumai siyo PhD (Philosophia doctor) ila Honorary degree (Doctor honoris causa)
 
Hongereni sana OUT,

Mmemsaidia sana Obama naye ataanza kuitwa DOKTA OBAMA, inasaidia sana kwenye uchaguzi kuonekana msomi na hata kusaidia chama chake cha demokrati kuonekana kina madokta wengi. kweli mmemsaidia sana.
 
Kwa ubovu wa Elimu ya TZ hiyo PhD itaonekana kama kumchafua Obama na haitatangazwa na vyombo vya habari vya marekani...labda Clouds Fm na TBC tu ndio watashabikia maana ndio walewale...
 
Former United Nations Deputy Secretary General Asha-Rose Migiro in her capacity as Chancellor of the Open University of Tanzania (OUT) has approved the award of an Honorary Doctorate Degree to US President Barack Obama for his "outstanding contribution to humanity “.

The recognition of the contribution of the US president who will be honoured with a Doctor of Letters (D.Litt) honoris causa degree was made public by the OUT Vice Chancellor, Prof Tolly Mbwette at a press conference in Dar es Salaam yesterday.

OUT said it was awarding President Obama for his outstanding contribution to humanity and in particular in the field of Community Economic Development.

He becomes the fifth President to be awarded the Honorary Doctorate Degree by the University. Others who have earned such recognition are the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, former South Africa President Nelson Mandela, and theTanzania’s former Presidents Ali Hassan Mwinyi and Benjamin Mkapa.

Others are Dr Dr Jane Goodall and a UK Professor of Telecommunications, David Mellor.
The Open University of Tanzania was the first University in the country to introduce postgraduate studies in Community Economic Development in the country in the year 2001 when it started offering a Masters of Science degree in community Economic Development of the Southern New Hampshire University (SNHU) of USA.

In 2009/10, the OUT started awarding its own Masters Degree (Master of Economic Development, MCED) following conclusion of the capacity building phase that was supported by the SNHU.
SOURCE: THE GUARDIAN
 
Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.

My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.
Mi naona huko ni kumdhalilisha. OUT kama lilivyo jiuna lake haina hadhi ya kumpa Obama degree ya aina yoyote. Hizo phd za OUT wapewe akina Nape, Lukuvi, Lusinde. Hebu acheni kujipendekeza nyie waswahili fikirieni mambo ya msingi kuliko huo upuuzi.
 
Hahitaji!
"Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind". - Robert Nesta Marley
 
OUT haina hadhi ya kumtunuku mr Obama degree ya aina yoyote. Labda hizo degree za OUT kama lilivo jina lake zinawafaa akina Nape, Mwigulu, Lukuvi. Hivivnyier waswahili mtaacha nini kujipendekeza kwa watu wasio wajua? Mi ningewashauri muwatunukie na wake zenu kabisa ili mudumishe udugu na mshikamano.
 
Hahitaji!
"Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind". - Robert Nesta Marley

Ni kweli Obama was a scholar at Havard angetaka wangempa mda ule wakati anafundisha. Hizi za kuungaunga ni zeti sisis huku.
 
waache bwana ataitwa Dr. Obama barack na itakuwa vigumu Ocean Road kuitamka jia la Dr. Balack Obama Avenue
 
Back
Top Bottom