Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ni kweli Obama was a scholar at Havard angetaka wangempa mda ule wakati anafundisha. Hizi za kuungaunga ni zeti sisis huku.
Unamaanisha nini Obama alikuwa scholar at Harvard?
A specialist in a particular branch of study, esp. the humanities; a distinguished academic;
''at '' Expressing location or arrival in a particular place or position: "they live at Conway House".
BILA SHAKA UMEELEWAS USIWE EMOTION BWANA THAT IS THE FACT NA NGELI ZETU ZA KUVALISHWA VIBAO.
Una uhakika Obama alikuwa "a scholar at Harvard"?
Au ulimaanisha alikuwa a law student at Harvard?
Google bwana acha uvivu na wivu ni nimeeandika point wewe unabisha.
Hiyo habari haina ukweli kabisa, Haters ambao wengi wao hawapendi kuona Black man akiishi ndani ya white househabari hii niliipata hapa>>>>>>>>https://www.jamiiforums.com/interna...bama-kunyanganywa-zawadi-ya-nobel-endapo.html
Ana shahada ya Harvard sidhani kama ni issue kwake kuwa na ya chuo kingine
Hujui maana ya scholar wewe.
Nisaidie bwana maana kuuliza si ujinga , si unajua darasa la kwanza kibao cha speak swahili, form one umejua swahili speak english, ndio hivyo tena dictionery zetu ni google.
bado moja ya kupewa ya anna kilango malechera
Hawa wenzetu hawana sifa za kijinga kamwe hutasikia Obama akiitwa Dk. Obama tena aliyopewa na nyie.
Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.
My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.
CHUO KIKUU HURIA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA
Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye kupitishwa na Mkuu wa OUT, Dk Asha Rose Migiro.
"Tumeangalia vigezo vyote muhimu ambavyo mtu anastahili kupewa tuzo kama hii na tukaridhika kuwa Rais huyo anastahili kutunukiwa," alisema Profesa Mbwete.
Kwa mujibu wa Profesa Mbwete, Rais Obama anakuwa mtu wa tano kutunukiwa tuzo hiyo baada ya kutanguliwa na Mwalimu Julias Nyerere, Rais wa kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela, Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Benjamin Mkapa.
Alisema hadi sasa OUT imetoa shahada saba za heshima, ambapo kati ya hizo mbili walitunukiwa mwanataaluma kutoka Marekani, Dk Jane Goodall na Mhadhiri wa Mawasiliano kutoka nchini Uingereza,David Mellor.
CHUO KIKUU HURIA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA - MPEKUZI HURU