Open University of Tanzania (OUT) kumtunuku PhD Obama

Open University of Tanzania (OUT) kumtunuku PhD Obama

Unamaanisha nini Obama alikuwa scholar at Harvard?

A specialist in a particular branch of study, esp. the humanities; a distinguished academic;
''at '' Expressing location or arrival in a particular place or position: "they live at Conway House".

BILA SHAKA UMEELEWAS USIWE EMOTION BWANA THAT IS THE FACT NA NGELI ZETU ZA KUVALISHWA VIBAO.
 
Una uhakika Obama alikuwa "a scholar at Harvard"?

Au ulimaanisha alikuwa a law student at Harvard?
 
Ana shahada ya Harvard sidhani kama ni issue kwake kuwa na ya chuo kingine
 
wanafunzi wao wanapata shida na urasimu na utunzaji mbovu wa database zao! Wanajipendekeza bure lakin ukweli utendaji wa OUT ni mbovu.
 
Hujui maana ya scholar wewe.

Nisaidie bwana maana kuuliza si ujinga , si unajua darasa la kwanza kibao cha speak swahili, form one umejua swahili speak english, ndio hivyo tena dictionery zetu ni google.
 
Nisaidie bwana maana kuuliza si ujinga , si unajua darasa la kwanza kibao cha speak swahili, form one umejua swahili speak english, ndio hivyo tena dictionery zetu ni google.

Obama kasoma sheria chuo cha Harvard. Kabla ya kujiunga na Harvard alisoma Occidental College iliyopo Los Angeles, California. Baadaye aka transfer kwenda Columbia University ambako alisoma political science.

Baadaye alikuja kufundisha constitutional law katika chuo kikuu cha Chicago.

Sasa yeye kusoma Havard hakumfanyi awe "a Harvard scholar". Ukiniambia yeye ni 'a Harvard law graduate' nitakubali. Lakini hii ya 'a Harvard scholar' nakataa.

Scholar ni msomi aliyebobea katika nyanja ama fani fulani. Pia, scholar ni mwanafunzi aliyepewa scholarship kusoma kwenye chuo ama shule.

Sasa Obama ni 'a Harvard scholar' kivipi?
 
Hivi atahutubia wahadhiri wa chuo kikuu huria au atapelekewa cheti Hyatt
 
[h=3]CHUO KIKUU HURIA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA[/h]

Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye kupitishwa na Mkuu wa OUT, Dk Asha Rose Migiro.

“Tumeangalia vigezo vyote muhimu ambavyo mtu anastahili kupewa tuzo kama hii na tukaridhika kuwa Rais huyo anastahili kutunukiwa,” alisema Profesa Mbwete.

Kwa mujibu wa Profesa Mbwete, Rais Obama anakuwa mtu wa tano kutunukiwa tuzo hiyo baada ya kutanguliwa na Mwalimu Julias Nyerere, Rais wa kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela, Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Benjamin Mkapa.

Alisema hadi sasa OUT imetoa shahada saba za heshima, ambapo kati ya hizo mbili walitunukiwa mwanataaluma kutoka Marekani, Dk Jane Goodall na Mhadhiri wa Mawasiliano kutoka nchini Uingereza,David Mellor.

CHUO KIKUU HURIA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA - MPEKUZI HURU
 
bado moja ya kupewa ya anna kilango malechera
 
Hawa wenzetu hawana sifa za kijinga kamwe hutasikia Obama akiitwa Dk. Obama tena aliyopewa na nyie.

Mbona hata JK. Nyerere alitunukiwa Phd za heshima lakini hakuwa anaitwa Dk. ! Je, ina maana sisi tu ndio tunapenda sifa za kijinga? kama ndivyo, kwa nini hatukumuita JKN Dk?
 
Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.

My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.

Hivi ktk ratiba yake na hiyo ya OUT ipo? Japokuwa Prof. Tolly Mbwete alisema maamuzi ya kumtunuku Obama hiyo Phd ulikuwa ni mchakato lkn nadhani kama chuo walitaka kupata kitu mf. kujulikana kwa chuo chao kimataifa na hata hao watakao kuwa kwenye dhifa hiyo ya kumtunuku kupata nafasi ya kuuza sura!!
 
CHUO KIKUU HURIA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA

Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye kupitishwa na Mkuu wa OUT, Dk Asha Rose Migiro.

"Tumeangalia vigezo vyote muhimu ambavyo mtu anastahili kupewa tuzo kama hii na tukaridhika kuwa Rais huyo anastahili kutunukiwa," alisema Profesa Mbwete.

Kwa mujibu wa Profesa Mbwete, Rais Obama anakuwa mtu wa tano kutunukiwa tuzo hiyo baada ya kutanguliwa na Mwalimu Julias Nyerere, Rais wa kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela, Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Benjamin Mkapa.

Alisema hadi sasa OUT imetoa shahada saba za heshima, ambapo kati ya hizo mbili walitunukiwa mwanataaluma kutoka Marekani, Dk Jane Goodall na Mhadhiri wa Mawasiliano kutoka nchini Uingereza,David Mellor.

CHUO KIKUU HURIA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA - MPEKUZI HURU

Wampe Obama kwa Lipi? saa Ngapi?
 
Back
Top Bottom