A
Anonymous
Guest
Kipindi nachaguliwa pale Open University nilikuwa najua kuna utaratibu mzuri na kueleweka katika ku-handle vitu vingi vya academic hasa hasa niliposikia asilimia kubwa ya vitu vinafanywa online na kuna urahisi wa kuwasiliana na lecturer wako.
Ila vitu vimekuwa tofauti uti, mwezi wa 9 nilifanya mitihani lakini kipindi matokeo yanawekwa mwezi wa 11 yangu hayakuonekana, inashangaza hii inatokea kipindi tunatumia QR code kama utambulisho kabla ya kufanya mitihani lakini bado inakuwa ngumu, nimefuatilia kituoni kwangu pale Singida ikashindikana, nimetuma emails inashindikana sasa hivi imebidi niende Dar nikafuatilie jambo langu.
Ingawa mimi hii mitihani ndiyo ilikuwa ya mwisho kwangu ila kuna kitu pale nimekiona kuna malecturer wana tabia za kuwawekea watu maksi kulingana na mahudhurio, hata upambane vipi kama huhudhurii zoom za lecturer fulani lazima ulambe C. Wanajulikana na kwao ni ufuhari tu na wanapenda kunyenyekewa sana.
Hawa watu hawajali kabisa muda wa Wanafunzi wao, imagine mimi nilitakiwa niwe nimemaliza mwaka jana, ila baada ya kutoonekana hiyo mitihani mpaka mwezi huu sijui itakuwa vipi, ili jambo lipo pia kwa upande wa research ila uzuri mimi nilimdanganya supervisor wangu nina safari ya nje mwaka huu kwa hiyo alikuwa ananijibu na kunipa maelekezo kwenye stages zote ila bila ya hivyo nayo ningepiga hata miaka 2, hawajali kabisa wale watu.
Kiufupi siwezi mshauri mtu asome pale, omba tu ruhusu kapige UD au UDOM, hapa utasumbuana bila sababu ya msingi.
Pia soma:
~ Serikali iangalie walimu wanaosimamia somo la Utafiti (Research) OPEN University, kuna mmoja ipo siku kitamkuta kitu
~ Tusaidianeni. Kwanini wabunge wengi wamepata Bachelors na Masters kutoka Open University? Kuna siri gani kwenye hicho chuo?
~ Open University of Tanzania imepatwa na nini kwani?
~ Chuo Kikuu Huria (OPEN university) wanachelewesha suala la research, unaweza fanya hata miaka 4