Hii si hadithi ya kusimuliwa bila ushahidi, nina vielelezo vinavyothibitisha ninachokizungumza.
Nimekuwa nikijiuliza kama niwashirikishe hapa kwa kuwa wahusika wanaonekana kuwa na kiburi na hawajali malalamiko ya wanafunzi, nimeamua pia kuweka wazi suala hili kupitia mitandao mingine kama...
Kipindi nachaguliwa pale Open University nilikuwa najua kuna utaratibu mzuri na kueleweka katika ku-handle vitu vingi vya academic hasa hasa niliposikia asilimia kubwa ya vitu vinafanywa online na kuna urahisi wa kuwasiliana na lecturer wako.
Ila vitu vimekuwa tofauti uti, mwezi wa 9 nilifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.