A
Anonymous
Guest
Ni jambo la kipumbavu sana (Mods please naomba mniache, sisi watu wazima na watanzania tunafanyiana mambo ya kijinga sana hawajui wanakwamisha madeal kiasi gani kwa wanafunzi wao)
Mfano una shida yoyote ya ki Academic unaenda mpaka Dar makao makuuu, supervisor wako anakukwepa, ukipiga simu anakuambia atakutafuta hakutafuti, ikimpigia hapatikani, ukimcheki kwenye simu mara niko Ujerumani sasa hivi tutaongea nikirudi.
Unasumbuliwa hivi vyote bila sababu ya msingi, hii inapelekea kucheleweshwa kumaliza chuo bila sababu na wengine hatuna hela ya kuhama chuo inabidi tukomae hapahapa.
Naomba upngozi muende mkaliangalie hili pale. Kama walejenga Chuo kwaajili ya wanasiasa waseme kwenye matangazo yao. Watu hatusomi bure pale.
NGOZI Nyeusi tunapenda kurudishana nyuma sana **** ni vile sikua na hela ya kwenda kupiga chuo huko duniani.
Jamiiforums naomba mtusaidie.
Pia soma ~ Kama hiki Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya wanasiasa pekee, mngetuambia mapema