OPERATION CORONAVIRUS PANDEMIC: 16 Reasons for the Deployment of this Devastating Bioweapon in 2020

Thank you for being prophetic. I guess you are part of that NWO action and mind controlling outfit. Mine is one mind you will never succeed to control.
I am not part of the controlling agents,but I know what is happening because the information is out there.

Believe me,you are mind controlled,and a slave.Mkuu hivi unajua hata minara ya simu inatumiwa for mind control?Inatisha sana,lakini ni kweli.Nyerere alitabiri kuhusu utumwa huu,akasema,"utumwa unaokuja ni mbaya zaidi kuliko utumwa uliopita,kwa kuwa itakuwa vigumu kujua kwamba wewe ni mtumwa."
 
I am not part of the controlling agents,but I know what is happening because the information is out there.

Believe me,you are mind controlled,and a slave.Mkuu hivi unajua hata minara ya simu inatumiwa for mind control?Inatisha sana,lakini ni kweli.
You are paranoid. You seem to imply that we will be better off living on an isolated ocean island where 'they' cannot reach us.
 
You are paranoid. You seem to imply that we will be better off living on an isolated ocean island where 'they' cannot reach us.
Kwa hiyo ni vizuri wao watutawale hata kiakili?Fuatilia Edward Snowden ali-expose nini kuhusu NASAs' mass surveillance and control program,it's shocking.
 
Kwa hiyo ni vizuri wao watutawale hata kiakili?Fuatilia Edward Snowden ali-expose nini kuhusu NASAs' mass surveillance and control program,it's shocking.
Kama kuna kutawaliwa kiakili nadhani tunatawaliwa kwa njia rahisi sana. Kwa mfano, kupitia ULOKOLE wa kisasa ambao umewafanya vijana kufikiri ufumbuzi wa kila jambo unapatikana kupitia maombi, mafuta ya upako, n.k. Hii pseudo-religious capture ni form of mind control ambayo mtu akiishashikwa ni vigumu kumnasua. Inauwa uwezo wa kufikiri na kutafuta ufumbuzi wa changamoto. Chanzo chake ni American fundamentalism ambayo sasa imeenezwa dunia nzima.
 
Kwa hiyo ni vizuri wao watutawale hata kiakili?Fuatilia Edward Snowden ali-expose nini kuhusu NASAs' mass surveillance and control program,it's shocking.
Sasa unataka ulinganishe taarifa za Snowden na conspiracy theory.
Snowden ni whistlebrower alitoa taarifa zilizokuwa classified lakini zinajulikana mashiko yake. Ukitaka kuchunguza taarifa zilikusanywa vipi na kivipi sheria ilikiukwa na NSA unatumia elimu ya kisayansi either computer engineering, telecommunication au cyber technology au elimu inayosomeka.

Sasa wewe unatuambia wamepanga hivi, kisha mwishoni unamalizia kuna mind control wanafanya tusiweze pata ufahamu. Yani mtu akipinga unaweza kwenda cheap kuwa yuko mind-controlled.
Kama kupinga serikali sahivi utaambiwa unatumiwa na mabeberu.

Hizi taarifa kupata ushahidi wa nani yuko interested na mipango hii, nani anaipinga, nani mnufaika na kivipi, nani alianzisha na kwa malengo yapi; hakuna ushaidi.
Kwamba watu wapungue, then what? Dunia itawaliwe na serikali moja, serikali hipi na chini ya kina nani?

Ukisema watengeneze magonjwa, hiyo inaweza kuwa mpango wa kampuni kana BigPharma au Monsanto watengeneze kisha wawe na dawa wauze wapate hela, hapa logic inaingia. Lakini from nowhere etu mtu atake mfe tu, sasa kama hana maslahi na kifo chenu inamhusu nini.
 
Sijui nikoje nikishaona habari ya kitu fulani kutokea halafu sababu/muanzilishi ikatajwa NWO, Illuminati au Freemason hua si ipi uzito sana. Hua nachukulia kama hadithi za kina Shigongo au movie za Marvel's.. Uanzishe corona uue watu then? Unataka utawale dunia ambayo watu wake umewaua au wako kwenye mateso halafu iwe na faida gani katika sphere zote kiuchumi, kisiasa au kijamii? Kwamba corona imeanzishwa kuwamaliza wenye 5G ambao ni wachina, sasa mbona south Korea, japan, italia ambao ni washirika wa mpinzani mkuu wa China kwenye 5G tech nao corona inawaua! USA nako imeripotiwa kifo kutokana na huu ugonjwa so wameunda bioweapon ambayo hawawezi kuimanage! Ukiwaza kwa umakini hamna theory yoyote ya mlengo huu inaleta mantiki
 
Mkuu hivi kabisa unaamini from the depest part of your heart kwamba NWO hawana maslahi na vifo vyetu.Why is HIV-Aids Ebola,Diabetes,Cancer,Herpatis A-D,Pressure,MERs,SARs,Heart Diseases etc.etc.here, you think they are natural? A big no.Hebu fuata link ifuatayo uone what the Illuminati have in stock for you,labda some sense will come to your mind.Inatisha lakini ni kweli.

Of immediate interest ni targets 5,7 and 9,in view of our discussion,ingawa itakuwa busara kuzijua targets zote,ili ujue what the Illuminati are planning against you.Utashangaa kuona kwamba everything they have planned has already happened or is happening now.Is it a coincidence? Surely not.

TARGETS OF THE ILLUMINATI AND THE COMMITTEE OF 300
 
Na njia nzuri ya kupambana ni kutokupanic, kila mtu atakufa kwa wakati wake, usipokufa kwa COVID -19, Unaweza kufa kwa ajali, ama sababu nyengine zozote. Hakuna haja ya kupanic, mwanaadam ni masiku nothing else, kwa kadiri yanavyoenda ndivyo yanavyozidi kupungua. Kila mtu atakufa tutatofautiana sababu tu, ila muhimu kuchukua tahadhari ili usife kwa taabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ikiandikwa kwa kiswahili inapoteza mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh,umeachwa nyuma sana mkuu and real missing out,those are the movers,shakers and rulers of this world.You better change and try to know them.Take time to read,utagundua ukweli huu.Nakushauri ufuate link ifuatayo.It is an alternative media link,where you have real information. Mainstream media is mainly fake news na news ambazo nia ni kupotosha watu kwa advantage ya NWO.Kwenye link hii wapo scientists renowned na wataalam mbali mbali wabobezi ambao wamefanya utafiti wa kina kuhusu issues mbali mbali.Sasa kwa vile tafiti hizi zinagusa uovu wa NWO kama huu wa COVID-19,huwezi kuziona kwenye mainstream media.

SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary | Revealing the True State of the Nation

Halafu please note that the mainstream media,yaani CNN,BBC.Sky News,Fox News,CNBC etc.,ziko owned na hao hao watu wa NWO,a.k.a Illuminati,
Skull and Bones,Freemasons,
Knights of Templar nk.

Wanataka na wameweza kutufanya wengi tuamini mainstream media, ili waendelee kufanya uovu wao unhindered.Wake up.

Fuata link zifuatazo,labda you will make sense out of it.Watu wana patents tayari za Corona na wanakula noti,halafu wewe unasema eti huoni logic ya wao kuua!See the patents in the following links.



CORONAVIRUS: A Globalist Bioweapon Created by DARPA, Big Pharma and Its British Overlords | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary


‘The Father of the Coronavirus Virus is the CDC’, Planted in China by the C.I.A. | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary

Halafu ona hii,CDC walitoa tangazo la kutafuta Quarantine Officer kabla ya janga la Corona.Is it a coincidence?Ona kwenye link ifuatayo!Akili kichwani mkuu.

Really, we want to know why the CDC posted job notices across the USA for a Quarantine Program Public Health Advisor on 11/15/2019—2 months before the Wuhan outbreak?! | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary
 
You are paranoid. You seem to imply that we will be better off living on an isolated ocean island where 'they' cannot reach us.
I am nor paranoidI.I believe we can live together harmoniously as children of the same God if only they can behave humanely.They seem to believe that we are less humane and deserve to be treated anyhow.It's sad to be realistic.
 
That's why, they started with CHINA b'cause had more 1.1Billion people.... Next is Africa..... Na watuua kama mbwa [emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kama kweli ni strategy ya kudepopulate mbona mpaka sasa corona imeua watu elfu kadhaa tu, kwa miaezi minne tangu october si ingekua imeua millims mbona hyo strategy ni dhaifu kuliko hata ajali za barabara ambazo kwa week tu hutimiza
hundred thousands deaths ?
 
Hebu angalia clip hii mkuu.Kumbuka kwamba bado watu wanaendelea kufa,na hata watu wakifa 20,000,to them that is an achievement! Clip hii inaumiza sana,kama una moyo mdogo usiiangalie.


 
Ni kweli na haya mambo yameanza kuongelewa tangu miaka ya 50 hivyo nyerere alikuwa ana information enzi hizo kulikuwa na Montauk Projects kwa ajili psychological warfare
 
Conspiracy theories, very ANTI-SEMITIC. Jerusalem, Iran na Israel zinaingiaje?? Wazungu hawana mawazo kama hayo ndo maana wataweza kui"tackle". Sisi weusi na wenzetu waarabu tunafikiria "short", acha nchi zetu ziumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…