Oh,kumbe una taarifa mkuu,hongera.Watu uninformed mpaka leo wanaita taarifa hizo conspiracy theories.Yaani watu wamechelewa sana.Ni kweli na haya mambo yameanza kuongelewa tangu miaka ya 50 hivyo nyerere alikuwa ana information enzi hizo kulikuwa na Montauk Projects kwa ajili psychological warfare
ukisoma vitabu vya Profesor mmoja mashuhuri Noam Chomsky mmarekani hata huwezi walaumu kwani wengi wako mind controlled na kwa sasa algorithm zinazotumika kwenye mitandao ya ya jamii na data huuzwa kwa makumpuni makubwaOh,kumbe una taarifa mkuu,hongera.Watu uninformed mpaka leo wanaita taarifa hizo conspiracy theories.Yaani watu wamechelewa sana.
Na hapo inapohitimishwa kuwa haileti mantiki na mwisho kuonekana kama stori tu, ndo hapo sasa propaganda zao zinakuwa zimefanikiwa kukucontrol ur perspective/ thinking/ belief.. Dunia sio mbaya ila walimwengu ni ny*ko.Sijui nikoje nikishaona habari ya kitu fulani kutokea halafu sababu/muanzilishi ikatajwa NWO, Illuminati au Freemason hua si ipi uzito sana. Hua nachukulia kama hadithi za kina Shigongo au movie za Marvel's.. Uanzishe corona uue watu then? Unataka utawale dunia ambayo watu wake umewaua au wako kwenye mateso halafu iwe na faida gani katika sphere zote kiuchumi, kisiasa au kijamii? Kwamba corona imeanzishwa kuwamaliza wenye 5G ambao ni wachina, sasa mbona south Korea, japan, italia ambao ni washirika wa mpinzani mkuu wa China kwenye 5G tech nao corona inawaua! USA nako imeripotiwa kifo kutokana na huu ugonjwa so wameunda bioweapon ambayo hawawezi kuimanage! Ukiwaza kwa umakini hamna theory yoyote ya mlengo huu inaleta mantiki
Hata poppulation yenyewe haijaweza kupunguzwa hao wanaokwambia wanakufa kwa mamilion kwani we huoni mikutano yao wamejaa bila barakoa wala social distancing. Analia mikutano ya republican na democratic. Kuna kitu cha zaidi nadhani ni hofu waliokuwa wanajaribu kupandikiza kwa watu ama walizusha ugonjwa halafu wakuletee vifaa vyenye virusi ukidhani unapima ama kutibiwa kumbe ndo unauawaMkuu na amini ni agenda za kupunguza population na ni illuminati,lengo ni easy control na governance
Sent using Jamii Forums mobile app