Tetesi: Operation KAKUCHA yazaliwa Arusha baada ya UKUTA kuyeyuka

Tetesi: Operation KAKUCHA yazaliwa Arusha baada ya UKUTA kuyeyuka

Status
Not open for further replies.
Asallamu allaykumu makamanda was cdm mimi kama mimi nlishaapa hatakuja kutokea hata siku moja nkaiunga ccm hata siku moja naichukiaa sana nasema ukwerii kabisaa hii ni kauli ya mkuu moja anaitoaga nami nasema ukwerii kabisa haitakuja kutokea Niko radhi nisijihusishe na siasa Hawa ni zaidi kansa.
 
Mtabakia na majina kibao kila kukicha ila safari hii ni lazima mzae, ubatizo wa moto unawasubiri kwa hamu.
 
Sasa CHADEMA "asili" ya nini hapo? Huwezi kupambanisha asili na isiyo asili. CHADEMA "asili" ilishindwa sababu ilikuwa ikipambana na kitu ambacho "si asili". Wacha "wasio asili" wakutane na "wasio asili" wenzao. After all, siku hizi vitu vingi si asili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom