Sasa CHADEMA "asili" ya nini hapo? Huwezi kupambanisha asili na isiyo asili. CHADEMA "asili" ilishindwa sababu ilikuwa ikipambana na kitu ambacho "si asili". Wacha "wasio asili" wakutane na "wasio asili" wenzao. After all, siku hizi vitu vingi si asili.