App Signal
Rais Yoweri Kaguta Museveni alichukua nafasi ya
photo opportunity kumuuliza maswali mengi
kaimu rais Dr. Emmanuel Nchimbi wakati wakiwa ktk hatua ya kupiga picha ya ukumbusho na kumuuliza
maswali mengi binafsi. Kama inavyosikika ktk clip hii kuanzia dakika ya 10 ktk hii clipu
21 December 2025
Kampala, Uganda
DR. Emmanuel John Nchimbi akiendelea kumuakilisha Samia nje ya nchi na katika video hii Museveni alimuuliza maswali kibao Nchimbi..
View: https://m.youtube.com/watch?v=E6d5RpULJxs
Rwanda & DR. Congo Trade Counter Accusation at Kampala Summit as M23 Resumes Fighting
View attachment 3521799