Operation ya funga na TCRA inazidi kutia kufuli, mtandao wa Signal umefungwa

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Mtandao wa Signal umefungwa Tanzania

Hivi sasa unafanya kazi nje ya nchi ya Tanzania lakini kwa watumiaji wa Tanzania wanapotuma meseji au Call zinashindwa kufika
 
Kaimu rais Emmanuel Nchimbi

TOKA MAKTABA :

Kaimu rais Emmanuel Nchimbi

TOKA MAKTABA :

Kwahiyo Signal katolewa kafara, Kosa la Signal liko wapi kaonewa tu bure
 
Abeba mikoba nafasi ya Kaimu rais (acting) Nchimbi na alishaanza mawasiliano na marais wenzie

TOKA MAKTABA :
Anasubiri kukaimu nafasi ya urais Samia akienda kujibu mashtaka Mahakama ya ICC Uholannzi

Muda huu Nchimbi anazunguka Congo na Zambia kuendelea kujitambulisha kama kaimu rais

19 November 2025
Lusaka, Zambia

Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia

Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA)
Vice-President-of-Tanzania-John-Nchimbi.jpg

Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.​

Vyombo vya habari vinaripoti kuwa Dk Emmanuel Nchimbi aliwasili kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, kwa ndege ya Air Tanzania.

Alipokelewa na Waziri wa Afya, Elijah Muchima, sambamba na Meya wa Lusaka Chilando Chitangala, Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Ltuteni Jenerali Matthew Mkingule na viongozi wengine waandamizi wa serikali ya Zambia na Tanzania.

Dk Nchimbi anatarajiwa kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) unaotarajiwa kufanyika kesho mjini Lusaka.

Anatarajiwa kurejea Tanzania mara tu ratiba yake ya kazi itakapokamilika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=TN6y0xGp8d8
 
App Signal

Rais Yoweri Kaguta Museveni alichukua nafasi ya photo opportunity kumuuliza maswali mengi kaimu rais Dr. Emmanuel Nchimbi wakati wakiwa ktk hatua ya kupiga picha ya ukumbusho na kumuuliza maswali mengi binafsi. Kama inavyosikika ktk clip hii kuanzia dakika ya 10 ktk hii clipu

21 December 2025
Kampala, Uganda

DR. Emmanuel John Nchimbi akiendelea kumuakilisha Samia nje ya nchi na katika video hii Museveni alimuuliza maswali kibao Nchimbi..

View: https://m.youtube.com/watch?v=E6d5RpULJxs

Rwanda & DR. Congo Trade Counter Accusation at Kampala Summit as M23 Resumes Fighting
1766928861548.jpeg
 
View attachment 3521799

We jamaa kw Archieves uko poa
 
Abeba mikoba nafasi ya Kaimu rais (acting) Nchimbi na alishaanza mawasiliano na marais wenzie

TOKA MAKTABA :
Anasubiri kukaimu nafasi ya urais Samia akienda kujibu mashtaka Mahakama ya ICC Uholannzi

Muda huu Nchimbi anazunguka Congo na Zambia kuendelea kujitambulisha kama kaimu rais

19 November 2025
Lusaka, Zambia

Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia

Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA)
Vice-President-of-Tanzania-John-Nchimbi.jpg

Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.​

Vyombo vya habari vinaripoti kuwa Dk Emmanuel Nchimbi aliwasili kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, kwa ndege ya Air Tanzania.

Alipokelewa na Waziri wa Afya, Elijah Muchima, sambamba na Meya wa Lusaka Chilando Chitangala, Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Ltuteni Jenerali Matthew Mkingule na viongozi wengine waandamizi wa serikali ya Zambia na Tanzania.

Dk Nchimbi anatarajiwa kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) unaotarajiwa kufanyika kesho mjini Lusaka.

Anatarajiwa kurejea Tanzania mara tu ratiba yake ya kazi itakapokamilika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=TN6y0xGp8d8

Hii gemu ya siasa ni kali
 
Back
Top Bottom