Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Hawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa nchi.
Tamaa za matajiri wa kanda ya kaskazini ya kutaka faida kubwa imewafanya wakimbiwe na wateja hapa Kariakoo na sasa wateja wengi wanahamia kwa matajiri wa nyanda za juu kusini wasio na tamaa ya faida kubwa.