Operation ya Matajiri kununua maghorofa Kariakoo inatisha

Operation ya Matajiri kununua maghorofa Kariakoo inatisha

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Hawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa nchi.

Tamaa za matajiri wa kanda ya kaskazini ya kutaka faida kubwa imewafanya wakimbiwe na wateja hapa Kariakoo na sasa wateja wengi wanahamia kwa matajiri wa nyanda za juu kusini wasio na tamaa ya faida kubwa.
 
😅😂 hawa hawa wakinga wauza nguo na makava ya simu au wakinga wapi hao. Mwana jf angalia watu tusianze kushusha takwimu za wachaga hapa maana hii battle ilishajadiliwa na mjadala wake kufungwa. Ni juzi Tu wakinga walikuwa wanalalamika kuwa wachaga wanawapiga kwene Mbao Maana wachaga ndio walanguzi wakuu wa mbao afu wao wanauza Kesha na Ethiopia. Ni juzi tu mlikuwa mnalia humu
 
Uje na mifano wakinga wangapi wana maghorofa kkoo. Maana hawazidi watatu. Tena ni Mtaa wa mchikichi na mbele ya congo. Hamna pengine. Na hapo Ni wamenunua maghorofa yanafata hayazidi Nane, wakinga wabena wahehe changanya.

Mimi ni mauncle zangu hao.

Mimi sio mchaga ila hata wachaga wachache wanamiliki maghorofa wengi wanamiliki biashara. Na wamejaa swahili, huku mbele congo kulikua kwa wahindi, ambapo wengi sasa ni vijana wakihehe,kikinga na kibena.
Na kwa majina pia ninayo. Uje na proof ya ghorofa na mtaa
 
Tujifunze kucheza na mikopo ya kibenki tutafaulu sana.
😂😂😂😂Hamna mpuuzi anakopa anunue ghorofa kkoo. Watu wanakopa wamiliki Mzigo mkubwa wa bidhaa au frame nyingi sio kununua ghorofa. Ghorofa linakata pesa chap.
1-4b ni pesa ya kudakia mali umafia wa mali, sio kumiliki ghorofa dakika chache unatoka mchezoni. Wanaomiliki maghorofa ni pesa yao kamili, cash, then sasa ndio anachukua mkopo, 800-900. Ni mwendo wa kuingiza tu, cnter za gsm na mapembelo cargo katikakati ya mji.
 
1-4B ni hela ya kujenga Kkoo nje huko, Katikati pale unanunua Ghorofa za zamani 5B+ hapo hujajenga kuanzia Basement, wengi wenye hayo Maghorofa wanalia, ni future proof ila return yake ni ndogo sana.
 
Stori za vijiweni mikoani huko
Kariakoo hata siku moja haiwezi kuwa ya waporipori
Matapangishwa maduka tu , muwadanganye walugaluga wenzenu mna miliki gorofa zima

..hata mimi nilidhani Kariakoo ni ya Wahindi, Waarabu, na Wapemba.

..vita kati ya Wachaga na Wakinga Kariakoo imeanza lini?🤣🏃🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom