Operation ya Matajiri kununua maghorofa Kariakoo inatisha

Hawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa nchi.

Tamaa za matajiri wa kanda ya kaskazini ya kutaka faida kubwa imewafanya wakimbiwe na wateja hapa Kariakoo na sasa wateja wengi wanahamia kwa matajiri wa nyanda za juu kusini wasio na tamaa ya faida kubwa.
Matajir hatuna baya 😅😂😅🔥🔥🔥
 
Kariakoo ni fursa! Kariakoo hapachuji!

Kinachofanyika watu wanaenda bank kuchukua mikopo akiwa na mchoro wake wa biashara na Bank wakifanya tathmini zao hususani kuhusu Kariakoo ndiyo biashara wanazipenda, unapewa haraka!

Kwa sababu wana uhakika frame zinapangishika na hela itarudi bila pressure!

Huo mtindo zamani walikuwa wanafanya waarabu. Watu walidhani kama wana pesa sanaa kumbe wanaenda Bank kwa mtindo wa namna hiyo! Ila kwa sasa waswahili nao wameshituka.

Tena kwa sasa hao waswahili wenye hayo majengo hawayauzi nao wanafanya mtindo huo huo! Wamejanjaruka.
 
Good
 
Me sidhani km ni Maghorofa yananunuliwa sana ,nnachoona ni wamiliki wanafanya renovation,?
Wamekuja kustuka hapo Ground floor kuna hela mingi sana walikua wameiacha, na huko upstair fursa zipo kibao, Wanachofanya wanajenga majengo ya kisasa yaweze kuendana na soko la sasa
 
Siyo kweli
 
Hawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa nchi.

Tamaa za matajiri wa kanda ya kaskazini ya kutaka faida kubwa imewafanya wakimbiwe na wateja hapa Kariakoo na sasa wateja wengi wanahamia kwa matajiri wa nyanda za juu kusini wasio na tamaa ya faida kubwa.
We jamaa ni mkabali ndio maana una jina la kikabila pia ,
Etwege ndio jina gani sasa ilo hata halifai kua jina la kitajiri
 
Hivi matajiri wa kikinga bado wanatembelea passo na vitz au washabadilika 🤣🤣
 
Hawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa nchi.

Tamaa za matajiri wa kanda ya kaskazini ya kutaka faida kubwa imewafanya wakimbiwe na wateja hapa Kariakoo na sasa wateja wengi wanahamia kwa matajiri wa nyanda za juu kusini wasio na tamaa ya faida kubwa.
Magufuli kwa akili zake za kisukuma alijaribu kuwapiga vita wachaga akashindwa
 
Back
Top Bottom