Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sasa utajiri wa nyanda ya juu wa kazi gani?wachaga watabaki juu daima.
kama unabisha njoo N.A
Kwao makazi duni wanaogopa kujenga wasiuawe, wenyewe matajiri wana maisha ya hovyo kuliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utajiri wa nyanda ya juu wa kazi gani?wachaga watabaki juu daima.
kama unabisha njoo N.A
Hakikabwanaongoza katika utapeli nyanja zote.wachaga watabaki juu daima.
kama unabisha njoo N.A
Matajir hatuna baya 😅😂😅🔥🔥🔥Hawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa nchi.
Tamaa za matajiri wa kanda ya kaskazini ya kutaka faida kubwa imewafanya wakimbiwe na wateja hapa Kariakoo na sasa wateja wengi wanahamia kwa matajiri wa nyanda za juu kusini wasio na tamaa ya faida kubwa.
Sawasawawachaga watabaki juu daima.
kama unabisha njoo N.A
Kariakoo ni fursa! Kariakoo hapachuji!
Kinachofanyika watu wanaenda bank kuchukua mikopo akiwa na mchoro wake wa biashara na Bank wakifanya tathmini zao hususani kuhusu Kariakoo ndiyo biashara wanazipenda, unapewa haraka!
Kwa sababu wana uhakika frame zinapangishika na hela itarudi bila pressure!
Huo mtindo zamani walikuwa wanafanya waarabu. Watu walidhani kama wana pesa sanaa kumbe wanaenda Bank kwa mtindo wa namna hiyo! Ila kwa sasa waswahili nao wameshituka.
Tena kwa sasa hao waswahili wenye hayo majengo hawayauzi nao wanafanya mtindo huo huo! Wamejanjaruka.
Ni kama viwanda gani vinamilikiwa na wachaga?Mkinga hawezi kufikia uwekezaji wa mchaga kariakoo hata siku moja, wakati mkinga anainukia kwenye kuuza maduka mchaga ashakimbizana kujenga viwanda huko hivo unapofika step ya mchaga yeye anahama anawaachia madogo janja tu biashara
Me sidhani km ni Maghorofa yananunuliwa sana ,nnachoona ni wamiliki wanafanya renovation,?
Wamekuja kustuka hapo Ground floor kuna hela mingi sana walikua wameiacha, na huko upstair fursa zipo kibao, Wanachofanya wanajenga majengo ya kisasa yaweze kuendana na soko la sasa
We jamaa ni mkabali ndio maana una jina la kikabila pia ,Hawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa nchi.
Tamaa za matajiri wa kanda ya kaskazini ya kutaka faida kubwa imewafanya wakimbiwe na wateja hapa Kariakoo na sasa wateja wengi wanahamia kwa matajiri wa nyanda za juu kusini wasio na tamaa ya faida kubwa.
Magufuli kwa akili zake za kisukuma alijaribu kuwapiga vita wachaga akashindwaHawa matajiri wa mbao na parachichi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini hivi sasa wanatisha kwa kununua magorofa Kariakoo na kuwafukuzia mbali kabisa matajiri wa kutokea ukanda wa kaskazini mwa nchi.