Operation za uzazi

Sir kijangwa

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
81
Reaction score
38
Wadau hivi kwanini kipindi hiki baada ya zana hizi za matibabu kusambazwa karibia vituo vingi vya afya. Njia kuu ya kujifungua imekuwa kisu, Je! Hapo mwanzo mbona karibia wengi walikua wanajifungua kwa njia ya kawaida au ni kwa sababu upasuaji ukifanyika kituo kinapata pesa za wafadhili au tatizo wanawake wa muda huu sio majasiri au tatizo magonjwa mengi? Magonjwa gani yasio julikana au tatizo vyakula. Vyakula gani visivyo julikana, karibuni wataalam kwa mawazo na ushauri.
 
Ila hii kesi imekuwa kubwa sana hapa nchini au pengne maeneo niliyopita mimi
 
Hamn
Sidhan kama lina ukwel scissor hufanyka kwa sababu mahalumu ambazo znakuwa ni ulazma kuokoa maisha ya mama na mtoto mfano kama eclampsia na sababu zingnezo...ambazo zina tishia maisha ya mama na mtoto.
 
Hii ni katika kukopa maisha ya kina mama wakati wa uzazi. Kujifunga kwa njia ya kawaida ilikuwa ndiyo njia pekee na wengine waliporeza maisha kwa kutokwa na damu nyingi au kushindwa kusukuma.

Hata hivyo upasuaji hufanyika inapobidi
Mambo ya epistiotomy..... inshort wanawake wa siku hizi wamekuwa wavivu kufanya mazoezi na wanakula kula hovyo ambapo hupelekea kujifungua kwa kisu na si kwa njia ya kawaida kama hapo zamani
 
Mambo ya epistiotomy..... inshort wanawake wa siku hizi wamekuwa wavivu kufanya mazoezi na wanakula kula hovyo ambapo hupelekea kujifungua kwa kisu na si kwa njia ya kawaida kama hapo zamani
Kuna usemi "she is too posh to push".
 
Kuna matatizo ya kujifungua huwezi kwepa kisu,
Japo kwa sasa ni km fasheni mtu anabeba ujauzito na ananuwia au kuomba operation, eti tu njia ya uke isitanuke aiseee sijasoma lakini ni tatizo kubwa sana na sijui ni nani aliyewaambia ukizaa kawaida njia inatanuka
 
Hii ni katika kuokoa maisha ya kina mama wakati wa uzazi. Kujifunga kwa njia ya kawaida ilikuwa ndiyo njia pekee na wengine walipoteza maisha kwa kutokwa na damu nyingi au kushindwa kusukuma.

Hata hivyo upasuaji hufanyika inapobidi
Kwa nini wanashindwa kusukuma
 
wewe ulijifungua kwa njia gani
 
1.fashion
2.Imani potofu,wanaogopa kutanua uke.
3.Uvivu.,hamna zoezi.
4.Vyakula
5.Kuokoa maisha ya mama na mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…