Sir kijangwa
Member
- Mar 10, 2014
- 81
- 38
Wadau hivi kwanini kipindi hiki baada ya zana hizi za matibabu kusambazwa karibia vituo vingi vya afya. Njia kuu ya kujifungua imekuwa kisu, Je! Hapo mwanzo mbona karibia wengi walikua wanajifungua kwa njia ya kawaida au ni kwa sababu upasuaji ukifanyika kituo kinapata pesa za wafadhili au tatizo wanawake wa muda huu sio majasiri au tatizo magonjwa mengi? Magonjwa gani yasio julikana au tatizo vyakula. Vyakula gani visivyo julikana, karibuni wataalam kwa mawazo na ushauri.