political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI
Msomaji wa andiko hili, naomba ulisome ukiwa huna chembe chembe za udini au mihemko, naomba usome kujifunza, hili ni angalizo langu.
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakstani, Benazir Bhutto, anamuambia jambo la kumuonya Rais wa Marekani kwa wakati huo GeorgE H. W Bush kwamba;
You are creating a Frankenstein, akiwa na mana wanatengeneza zimwi lidude la ajabu.
Naaam, hapo pichani ni Rais wa Marekani kwa muda huo Ronald Regan akiwa na wapiganaji wa Kislamu wa Afghanistan (Mujaheddin) ndani ya Ikulu ya Marekani "White House"
Utajiuliza hao Mujahidni walikuwa wanafanya nini ndani ya Ikulu ya Marekani wakiwa na kikao kizito na Rais wa Marekani?
Hapo ndio tunaenda moja kwa moja hadi miaka ya 1978 ambapo mwaka mmoja badae nchini Afghanistani palikuwa panakaliwa na uvamizi wa Serikali ya Umoja wa Muungano wa Kisovieti yani USSR.
Kama tunavyojua miaka ya hapo nyuma haswa baada ya vita vya 2 vya dunia, basi tulishuhudia vita baridi baina ya upande wa mlengwa wa Siasa za Kibepari ukiongozwa na U.S.A na Ulaya Magharibi na upande wa Kisoshalisti au Ujamaa wenyewe wakiongozwa na USSR na China.
Baada ya USSR kufanikiwa kupavamia na kupatawa Afghanistan ndipo Serikali ya Marekani kupitia CIA na kushirikiana Serikali ya Pakistan chini shirika lao la kijasusi la ISI.
Wakaja na Opereshen Cylone ambapo ilianza mwisho wa utawala wa Jimy Carter ukapata nguvu kwa Ronald Regan hadi kwa Bush mkubwa.
Opereshen Cylone ilikua ya siri sana ambapo Serikali ya USA ilitenga fungu la hela, silaha na mafunzo maarumu kwa Afghanistan Wakislamu kwa lengo la kupigana vita na Serikali ya USSR na wanaowaunga mkono ndani ya Afghanistan.
Lengo ni Mrusi aondeke kwenye ardhi ya Afghanistan, vita baridi baina ya USSR NA USA, vikafanya USA atumie kundi hilo kwa kuitwa mujahidin.
Mambo yakaenda mbali CIA walianza chapisha maandiko na kuyaeneza Afghanustan yenye kuchochea chuki na ubaguzi kwa wasio Waislamu na wale sio Wafaghan.
Mana yake raia walmezeshwa chuki wawachukie Warusi na wale wasio Waislamu.
CIA wakaenda mbali zaidi japo wanakanusha baada ya kutangaza mbiu haswa kwa Warabu na Waislamu wajiunge kupambana na USSR ili kumuondoa adui Mkristo kwenye ardhi ya Waislamu.
Na hapo ndipo watu kama Osam Bin Laden na Waislamu wengine haswa jamii za Kiarabu wapotoka makwao hadi nchini Pakistan wakapata mafunzo na kutumwa Afghanistan kupambana na USSR.
ambapo leo kundi hilo linajulikana kama 'Afghan arabs' ambalo lilikusanywa ndani ya OP cylone kama mujahidini.
Na hapo ndipo matatizo yalipoanzia mana kulianza vikundi ndani ya vikundi wakati wanapambana na USSR.
Baada ya kufanikisha lengo ambapo 1992 rasmi, USSR aliweza toa miguu yake Afghanistan na hapakuchukua muda kwa muungano huo kuvunjika.
Na hapo ndio kelele za ugaidi kuhusishwa na Uislamu zikaanza haswa baada ya USA kuanza chagua kundi alipendalo na kuwapa hela kuuwa mujaheedin wengine, shida baada ya pia kuibuka kundi la Alqaeda.
1992 hadi 1996 vita vya wenyewe kwa wenyewe ambapo Talban wakachukua utawala hadi 2001 wapoondolewa na mungano wa NATO.
Kwanini nimeanzia huko? Sababu iwe rahisi napoelekea.
Chapisho la nyuma niligusia vita dhidi ya Ugaidi vilivyofanya Uislamu uwe mpya kwa Waislamu.
Tukajiuliza kivipi leo hii Ugaidi unahusishwa na Uislamu na je Uislamu unafunza Ugaidi??
Labda tutazamie nini mana ya Ugaidi, ambapo utaona ni ile hali ya kudhuru na kutisha watu au raia kwa malengo ya Kisaisa, Kidini au Kimtazamo, au tunaweza sema ni kufanya vitendo vya kutumia nguvu bila sheria kudhuru raia na mali zao.
Je Uislamu ndio unafunza hivi? je panamafunzo ya Uislamu ya funza hivi yani uende tu Kanisani ulipue bomu?? au uende pahali panamkusanyiko wa watu uue raia wasio na hatia tena hawana shida??
Jibu hapana labda naomba tutazamie kabla ya 1992 matukio mangapi ya Ugaidi yalihusishwa na Uislamu na hapo utaona tangu matukio ya ugaidi yalipotiwe 1920 mpaka 1992 palikua na matukio mawili tu yenye kuhusisha makundi ya Kislamu.
Matukio ya 1983 la Beirut na lile la 1985 la Rome na Viena la Airport mbali na hapo hakuna.
Ila tujue tu muda wote huo matukio ya Kigaidi yamefanyika mengi tangu 1920 ;
Tukio la bomu la Manhattan, Marekani 1920, lilofanywa na kundi la Galleanist, eneo la Wall street.
St Nedelya Church huko Bulgaria, 1925, lilifanywa na chama cha kikomonist cha Bulgaria.
King David Hotel, Palestina na tuko lilifanywa na kundi la Kiyahudi la Irgan, 1946
kuna matukio ya mauaji ya kutisha Tel aviv 1972 lmefanya na kundi la Japam Red Army.
Kuna Bologna Massacre 1980 limefanywa na Nuclei Armati Rivoluzionari
Na matukio mengine mengi hapo nyuma yalifanywa na jamii na makundi mengine sasa mbona ghafla dunia ikaanza shuhudia makundi na matukio ya kigaidi yenye sura ya mafunzo ya Uislamu??
Hapo naomba nirudi nyuma tupoanza na mkasa wa operesheni Cylone ambapo ilizalisha Mujahidin wengi na CIA ilikusanya Waislamu kwa kutumia Uislamu ya Jihad.
Muda huo mujahidin waliuwa watamu kwa Wamarekani na mara kwa mara, Rais wa wakati ule Ronald Regan alikuwa akigusiwa kuhusu Mujahidn hao alisema ni wapiganiaji uhuru wa nchi yao.
Sasa baada ya mambo kuanza kwenda tofauti haswa Amerika kuanza telekeza na kuuwa baadhi ya Mujahidin na haswa pale wapoanza kinzana baina yao na Amerika na pa Serikali ya Pakistan.
Hivi vikundi vikaanza kushambuliana na Amerika na kuanza shambulia malengo yao na ubaya wale wale walioimbwa mujahidin wapiganaji uhuru ndio wakaanza sakamwa na Amerika na Mainstream media ni magaidi.
Ubaya wakaanza husisha mujahidin na ugaidi sababu mujahidin wale wale marafik na USA ndio hawa hawa leo wanakinzana.
Na tukumbuke kulikua na vikundi mbali mbali vishaundwa venyemalengo tofauti.
2001 ndio kuendelea Ugaid husishwa na Uislamu ukazid pamba moto baada ya kundi la Al Qaeda ambalo ni zao la Marekani kuita waislamu kwenda pambana na USSR, apofanya tukio baya na la kuuzi mnoo ndani ya ardhi ya Marekani.
na hapo ndipo USA apotangaza vita dhidi ya ugaidi na kuanza shambulia Afghanistan kuwapindua Talban ambao alidai inashirikiana na Al Qaeda, akavamia nchi za Mashariki ya kati kwa madai ya kupindua Serikali zinazfungamana na makundi ya kigaidi.
Lakini cha ajabu makundi mengi sana yaakzuka baada 2001 je tatizo ni nini??
Je makundi yote ya kigaidi yenye sura na Jihad yana malengo gani mbona yapo sehemu zenye mafuta na madini ambapo USA ndo hupigana nazo hata uje Afrika utawakuta sana nchi zenye madin au mafuta au milango ya bahari.
Sina lengo hasi kugusia haya ila pia sasa kuna vikundi ambayo vinapigania uhuru wao au wapo wanapambana na serikali zao kuchuua dola lakini pia wanahusishwa na ugaidi sababu tu wapo tofauti na nchi za Magharib au Wamagharib wanawasapoti wa upande mwengine hivyo hawa wengine huitwa magaidi.
Sasa mbona IDF au M23 makundi nje ya jamii za Kiarabu hayaitwi magaidi bali huitwa waasi??
Sikatai makundi ya kigaid yapo tena yana sura ya jihadi na wale wasioujua Uislamu huona yale ni mafunzo ndani ya dini.
Acha niwaambie na kuwatajie misngi ya vita kwa sheria za Uislamu.
Ndani tu ya vita pana ulinzi juu ya raia ambapo ni dhambi kuuwa raia asie na silaha ndan ya vita na hairuhusiwi kuuwa watoto, wanawake na wazee, na wagonjwa.
Kulinda mazingira na Mali, hairuhusiwi kuharibu mali za uma, kuharibu mazingira hata kukata tu mti bila sababu kwnye vita, kuchafua maji na vyanzo vya uhai ni dhambi.
Lakini haki za Mateka ambapo ndani ya misingi ya Uislam mateka wapewe chakula, malazi na viwalo, kutowapiga ili kuwapa taarifa.
Na mwisho ndani ya vita hapataiki umue adui alieomba kujisalimisha.
Sasa kama Uislamu unafunza haya hao wanaofanya Ugaid wanapata mafunzo toka wapi??
Kuna uzushi mwingi juu ya haya makundi na mara zote huelewi yanataka nini mara Boko Haram anachukua vtoto anaviteka sasa hii jihad gani au pana nyuma ya panzia??
Msihusish Jihad na Ugaid haya mambo ameyanzisha USA baada ya kumshinda.
Ila kuna jamii nyingi za Kiarabu amabazo tangu 2001 zimedhulika na vizazi vyao mara zote ndo hao wanaoleta shida.
Wengi wanasema Uisamu unafundisha Ugaid sasa mbona tangu nyuma hapaka na makundi ya Ugaidi hadi pale CIA apoanza kusanya Waislamu wakapambane na USSR?
Hayo mafunzo mbona hayatumika huko nyuma hadi 1980 haswa 1992 ndo mafunzo ya Uislamu yakawa ya Ugaidi??
Na baada ya hapo ndipo ilipozidisha ISLAMAPHOBIA kwa jamii nyingi kuona Uislamu ugaid na kuanza chukia Uislamu na Waislamu.
Pia kuna Waislamu wengi walijiunga na vikundi vya Ugaidi wakjua wanapigania Waislamu kutoana na madhila wanayopitia Waislamu bila kujua kuna meng nyuma ya haya makundi.
Leo tuishie hapa.
Ni Mimi Drim Bway Defya