Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Marco Rubio anasema mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran yameisha, akisisitiza kuwa operesheni hiyo imefikia malengo yake. Alisema lengo lilikuwa kudhoofisha uwezo wa makombora ya Iran, ambayo yalikuwa yakitumika kulinda mpango wake wa nyuklia.
"Operesheni Epic Fury imekamilika. Tumefikia malengo ya operesheni hiyo."
Sasa Marekani inaelekea kwenye shinikizo la kiuchumi na diplomasia huku ikiendelea na juhudi za kushughulikia mpango wa nyuklia wa Iran na kudumisha usalama katika Mlango wa Hormuz.